Sunda Lyrics
Sunda Lyrics by TIMAM
Matime, me huhisi ni kama nilazima nifanye kitu
Ili niweze kukubalika nawe
But...bibilia imesema kuamini ndio kila kitu, nikiamini nishakubalika naweee
And I am seated in the right hand of God
Far above principality and rulers, me and Jesus on the throne
Umenisunda, karibu naweee
Sitadunda niko nawee
Umenisunda, karibu naweee
Sitadunda niko nawee
Umbali huu niwee, una mamlaka ya kwangu
Ni kwa nguvu zako sio kwa nguvu zangu
Utakatifu wa nguvu zangu, ni kero kwako nasalimu amri hapo nipoleee
Umbali huu niwee, una mamlaka ya kwangu
Ni kwa nguvu zako sio kwa nguvu zangu
Utakatifu wa nguvu zangu, ni kero kwako nasalimu amri hapo nipoleee
Weweeee
Umenisunda, karibu naweee
Sitadunda niko nawee
Umenisunda, karibu naweee
Sitadunda niko nawee
Umenisunda, karibu naweee
Sitadunda niko nawee
Umenisunda, karibu naweee
Sitadunda niko nawee
Hapo kwako nimekamilika
Niko nawee
Niko nawee
Watch Video
About Sunda
More TIMAM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl