Nimefika Lyrics
Nimefika Lyrics by TIMAM
Kakiwa kameshikana we ndio mwangaza
Katika maji ya utulivu hunilaza
Wewe ndio ngao yangu
Tumaini langu ni weee
Umekuwa nami tangu day one hujang'ada
Hakika wema wako kote ntatangaza
Niwambie Wewe ndio ngao yangu
Tumaini langu ni wee
Kwako nimefika, Sitaki raundi, Sikuchochi Nimefika
Nitaenda wapi Bila wewe
Nimefika, Sitaki roundi sikuchochi Nime...Fiiika yahwehhh
Naweka mambo wazi kwako nimepata makaazi
Punguza ujuaji wanguuu
Mbali nawe me sitaki, hata wanijaribu na ganji
Nimekwama, Nimekwama kwakoooo
Nakumbukaga nilipobisha, Ulifungua mlango nikaingia
Umenipa mbisha ya upendo true
Haubagui Nasitasita, Kila niwazapo
Umbali huu ni weeee...ehhhhh...ehhhhhh
Mchungaji Niwe
Kwako nimefika, Sitaki raundi, Sikuchochi Nimefika
Nitaenda wapi Bila wewe
Nimefika, Sitaki roundi sikuchochi Nime...Fiiika yahwehhh
Kwako nimefika, Sitaki raundi, Sikuchochi Nimefika
Nitaenda wapi Bila wewe
Nimefika, Sitaki roundi sikuchochi Nime...Fiiika yahwehhh
Watch Video
About Nimefika
More TIMAM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl