
Nakupenda Bwana Lyrics
...
Nakupenda Bwana Lyrics by The Unveiled
Nakupenda bwana
Wewe ni amani yangu
Hew-a napumua oh bwana
Wewe ni maisha yangu
Ulinitoa kwenye vitambaa
Nawe ukaniweka mbele ya wafalme
Mimi si kutu bila wewe bwana
Ninachitaka ni kuwa nawe milele
Nawe milele
Nakupenda
Nakupenda bwana
Wewe ni amani yangu
Hew-a napumua oh bwana
Wewe ni maisha yangu
Umenipa kibali chako
Nimepata neema mbele zako
Nakupenda mungu wangu
Manyuku nyuku
Ndikafunga mwari
Manyuku nyuku
Pavaka famba neni
Manyuku nyuku
For all you’ve done for me
I bless your name
Nakupenda bwana
Wewe ni amani yangu
Hew-a napumua oh bwana
Wewe ni maisha yangu
Nakupenda bwana
Wewe ni amani yangu
Hew-a napumua oh bwana
Wewe ni maisha yangu
Wastahiliiii
Wewe mungu
Tuna kusifu
Wewe mungu
Wastahiliiii
Wewe mungu
Tuna kusifu
Wewe mungu
Wastahiliiii
Wewe mungu
Tuna kusifu
Wewe mungu
Nakupenda bwana
Wewe ni amani yangu
Hew-a napumua oh bwana
Wewe ni maisha yangu
Twalisifu jina lako
Mfalme wafalme
Twalisifu jina lako
Mfalme wafalme
Twalisifu jina lako
Mfalme wafalme
Twalisifu jina lako
Mfalme wafalme
Watch Video
About Nakupenda Bwana
More The Unveiled Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl