Utabaki Lyrics
Utabaki Lyrics by SWAT
35/60 rima ya girimba
35/60 ni rima ya girimba
Morio ukining'ora unajua utabaki
Acha utiaji unajua utabaki
Ukifashia unajua utabaki
Utabaki unajua utabaki
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Tembea hizi rima ni rima za girimba
Chura za mayadi area zenu ni makeki
Mboka tupiga ndio tupate ya sima
Mkoba anaringa na gizani anatekwa
Team kujibeba mafisa watakuteka
Jing mi hushikisha na njoti sina gomba
Fathe umetepwa ukizima utatokwa
Buda umetepwa ukizima utatokwa
Morio ukining'ora unajua utabaki
Acha utiaji unajua utabaki
Ukifashia unajua utabaki
Utabaki unajua utabaki
[Nastie]
Mrazi alidedi ju alipeana pedi
Huku East ka ni noma tuko ready
Tuko rada na kishada tunaseti
Na Swat tuko stu tunanyanyanga videadly
Tuko mboka ofcouse tutaomoka
Tunacheza hawa maslayer kama soccer
Mafala wamelalisha kama mimi kwa locker
Mboka ishike mamkoba na mogoka
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Jabaration na harufu ni ya iliki
Tuko mbogi hakuna njeve tuko nditni
Nina G bag unaeza kuja tu na zigi
Tuko mbogi hakuna njeve tuko nditni
Cheza na zigi kuja nazo mingimingi
Makali hatuchase ni maflash mingi mingi
Nganya nadondoka macho ngumu na silipi
Mbogi ikiround si ni manjora na matiki
Morio ukining'ora unajua utabaki
Acha utiaji unajua utabaki
Ukifashia unajua utabaki
Utabaki unajua utabaki
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Utabaki hizi rima utabaki
Utabaki unajua utabaki
Watch Video
About Utabaki
More SWAT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl