Usiwahi Stuka by STONEE JIWE Lyrics

Nafeel ka CEO(Ka CEO)
Stuff imani ya Musa(Imani ya Musa)
Si siri oooh
Facts nazitunga(Nazitunga)
Hii ndiyo craft na si dumba(Walai)
You've seen me grow sa ni rap ya kibunda
Minji flow, usijigas ka si cooker(No no)
Mimi though, mass nazigusa(Nazigusa)
Wimbi bro, sipuff ka si unga (Nah nah)
Ndimi soo na si lugha

Kitu nafeel ni more than texture
Huu msimu nabii more than lecture
Nimeload more than ceska
For the few naongelesha mi ndio tune moderator

Injili naleta(Injili injili)
Mithili narrator
Misri nasepa 
For the few naongelesha mi ndio tune moderator

Usiwahi shtuka(Usiwahi usiwahi)
Jesus on my side naibuka(Walai)
Loosing sio my type sio my lugha
Ona sai ndio nadunda, so na-rise na hii mzuka

Usiwahi shtuka(Nah nah)
Buda usiwahi shtuka(Nah nah)
Loosing sio my type sio my lugha
Ona sai ndio nadunda, ndio na-rise na hii mzuka

Usiwahi shtuka(Aha)
Usiwahi shtuka
Loosing nah

Nafeel ka VVO(Ka VVO)
Na maCD kwa bags(Kwa bags)
GG boss, kwa my city na shags
Hii ndio ya macritics na buzz

Vile nafanya kukakanganya
Kukakanganya neza, mix inajazz
Kama ni pot labda githeri 
Maana naweka kwa jiko
Truth wamekwara so naisamba kipedi
Hapa ni favour na mwito
Leta maringo utoke kukaza ni daily
Kurauka ni kawa ni ngware
Ju ma-Judas washaniseti

Leta Kartel hapa ni geri
Mungu pekee hao wengine sabalkheri
Enda ukatell bonga ni njama kijana amekreki
Enda ukaseme nilisamehe neiba na sitami deni

Injili naleta(Injili injili)
Mithili narrator
Misri nasepa 
For the few naongelesha mi ndio tune moderator

Usiwahi shtuka(Usiwahi usiwahi)
Jesus on my side naibuka(Walai)
Loosing sio my type sio my lugha
Ona sai ndio nadunda, ndio na-rise na hii mzuka

Usiwahi shtuka(Nah nah)
Buda usiwahi shtuka(Nah nah)
Loosing sio my type sio my lugha
Ona sai ndio nadunda, so na-rise na hii mzuka

Usiwahi shtuka(Aha)
Usiwahi shtuka
Loosing nah

Music Video
About this Song
Album : Usiwahi Stuka (Single),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 03 , 2020
More Lyrics By STONEE JIWE
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment