Uhalifu Lyrics by STIVO SIMPLE BOY


Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Watoto wa kiume na wakike 
Wameingia uhalifu
Hawafanyi vitu poa 
Wanafanya vitu mbaya zinaleta uharibifu

Hawatii wazazi
Hawatii wakubwa wao
Hawako waaminifu
Hawako watulivu

Jamii inalia, watu wanahofu
Hakuna kutabasamu
Kisha wanasema watoto hawana nidhamu
Hawana uadilifu, hawana hata utu
Hao ni uhalifu, kila siku kila mara 
Wanafanya uhalifu, ukiwa na kakitu
Wanaleta taabu, wanamwaga damu
Kisha wanajisifu ati hao ni wakuu
Wahenga walisema asiyefunzwa na mzazi hufunzwa na ulimwengu
Ndio maana mi nasema watoto wa kiume na wa kike
Muwache uhalifu...

Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Mimi Stivo Simple Boy mwana wa Dorcasi
Nina uchungu moyoni, napaza sauti
Kwenye microphone vijana wetu jamani
Tunawapenda kwa dhati wanapigwa marisasi
Wengine kwenye ward, wengine magerezani
Wengine chembani wako, makabatini
Wamepoteza uhai juu ya uhalifu
Is very sad inafaa tufanye jambo
Uhalifu ufike tamati

Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Natema mistari yaani natema mavocal
Milio ya mgambo ikilia kuna jambo
Nami nina jambo, tulia nikupe mambo
Watoto wa kiume na wa kike wanatanga tanga tu kama umbwa koko
Ati hao ni Rambo, wanaleta matatizo
Ukisema ukweli wanakunyooshea mkono
Kisha wanakutusi, punguza nyokonyoko
Uliza Oyooo, Flex ama Mammito
Wakupe uhondo tunahitaji suluhisho
Uhalifu ufike kikomo, vijana waishi vyema
Bila matatizo

Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Uhalifu si poa(Uhalifu)
Uhalifu si nzuri(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)
Ha(Uhalifu), Ha(Uhalifu)

Watch Video

About Uhalifu

Album : Uhalifu (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 01 , 2019

More STIVO SIMPLE BOY Lyrics

STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl