Mara Ngapi Lyrics
Mara Ngapi Lyrics by STEPH KAPELA
Mara ngapi nimekosa, yea
Mara ngapi umeningoja, yea
Mara ngapi umechoka, yea
Mara ngapi imetosha, yea
Mara ngapi nimetoka, yea
Mara ngapi umenikosa, yea
Mara ngapi nimechocha, yea
Mara ngapi niko ocha, yea
Mara ngapi nakujenga, yea
Mara ngapi najilenga, yea
Mara ngapi niko benga, yea
Mara ngapi bogi bender, yea
Mara ngapi niko tender, yea
Mara ngapi ni mapema, yea
Mara ngapi no depender
Mara ngapi no defender
Mara ngapi baby (how many times have I)
Mara ngapi baby (tell me)
Mara ngapi baby (how many times have I)
Mara ngapi baby (tell me)
Mara ngapi baby (how many times have I)
Mara ngapi ujanipata, yea
Mara ngapi umenihata, yea
Mara ngapi nakusaka, yea
Mara ngapi unakataa, yea
Mara ngapi najigamba, yea
Mara ngapi nakulamba, yea
Mara ngapi ngapi uko chama, yea
Mara ngapi nimechanga, yea
Mara ngapi nakushika,
Mara ngapi zimeshika, yea
Mara ngapi umewika,
Mara ngapi umefika, baby
Mara ngapi nimepika, yea
Mara ngapi tuko pizza, yea
Mara ngapi umepiga, yea
Mara ngapi sijashika
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby
Mara ngapi baby, baby, baby
Whoa…. Eh
Mara ngapi baby
Nimeblunder hapo mwisho
Rudia Hiyo kitu
Watch Video
About Mara Ngapi
More STEPH KAPELA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl