Party kwa Nduthi Lyrics

SHUGABOY Kenya | Afropop,

Party kwa Nduthi Lyrics


Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Mi huwanga na kadem kasupa
Huwanga kamejipa
Ikifika weekend kanabeep kanabeep
Kanataka machupa

Kanapendaga Amarula
Smart blue nasambuka
Kaezi panda nduthi, kana upuzi
Kanataka pande Uber

Mi huwanga niko fiti siwezi stuka
Hata mguu unapiga
Nikifika club nanyapia nanyapia
Huku kiatu chatupa

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Nimeona maboy wanajitesa
Wanafeki maisha
Ona hata ndae wanakopa 
Nguo wanakopa
Badala ya kupanda City Hoppa

Eti wanadai wanatamba
Wakiwa na madem wanajigamba
Kumbe wao ni manamba
Wanarama hawana pamba

Mi huwanga niko fiti siwezi shtuka
Hata dazi napiga
Nikifika club nanyapia nanyapia
Huku kiatu chatupa

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Vumba ngoma vumba ngoma eeh
Vumba ngoma chibibi(Usiyugwe)
Vumba ngoma vumba ngoma eeh
Vumba ngoma siuwe(Usiyugwe)

Vumba ngoma vumba ngoma eeh
Vumba ngoma watoto(Usiyugwe)
Vumba ngoma vumba ngoma eeh
Vumba ngoma nyawawe(Usiyugwe)

Vumba ngoma vumba ngoma eeh
Vumba ngoma ndambale(Usiyugwe)

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Kuja twende party kwa nduthi
Party na nduthi
Twende party na nduthi

Leave a Comment