Nalifurahia Lyrics
Nalifurahia Lyrics by SARAH MAGESA
Malaika mbinguni wanakuabudu
Wazee ishirini na nne, wanakusujudu
Na sisi duniani tunakuinua
Malaika mbinguni wanakuabudu
Wazee ishirini na nne, wanakusujudu
Na sisi duniani tunakuinua
Tunasema ni wewe, ni wewe Yesu Ni wewe
Bwana wa mabwana
Tunasema ni wewe
Mungu mwenye nguvu, ni wewe
Jiwekuu la pembeni
Tunasema ni wewe
Nyokaya shaba ni wewe, ni wewe
Nyota ya asubuhi ni wewe
Tunasema ni wewe
Niko ambaye niko ni wewe, ni wewe
Na sema niwe, niwe, niwe, niwe ni wewe
Wewe ni kweli, na kweli ni wewe
Wewe ni ndiyo, na ndiyo ni wewe
Wewe ni nuru, na nuru ni wewe
Wewe ni mwanga,na mwanga ni wewe
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kwa Baba yangu, hakuna korona
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kule kule kulen hakuna ukimwi
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kule kule, hakuna kisukari
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kule kule ni kusifu na kuubudu milele yote
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Nikifika kwa Baba, nitamiliki milele
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kule hakuna kukopa wala kukopesha
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kwa Baba hakuna kulia lia
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kwa Yesu ni furaha na shangwe
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Nalifurahia waliponiambia
Kule ni kusifu na kuabudu
Nalifurahia waliponiambia
Na twende nyumbani kwa bwana
Ooh haleluya haluluya haleluya haluluya
Haleluya haluluya
Heii haluluya haleluya haluluya
Haleluya haluluya haleluya haluluya
Watch Video
About Nalifurahia
More SARAH MAGESA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl