Umama Lyrics
Umama Lyrics by RICO GANG
Eeh si unajua tu ni nani
Eeh eeh umama
Si unajua tu ni nani, Ricoo!
Eeh umama!
Si unitext manze jo nimeboeka
Ukikosa form unaleta
Kubehave ka dem ananyesha
Na kama unapenda kusengenya
Snapchat unaweka filter
Caption ati 'Manze nimeiva'(Umama!)
Club ati unakunywa Cider
Hupendi form za makali na mabeer(Umama!)
Status zako zote ni madot(Umama!)
Umegraduate pewa thong(Umama!)
Kazi ni kulisha watu block(Umama!)
Kila screenshot unapost(Umama!)
Ati unadai tu kulambwa(Umama!)
Kwani we ni jegi za Rihanna(Umama!)
Manze bro hapo wacha wana(Umama!)
Na kama unapenda kubishana
Si unitext manze jo nimeboeka(Umama!)
Ukikosa form unaleta(Umama!)
Kubehave ka dem ananyesha(Umama!)
Na kama unapenda kusengenya(Umama!)
Umama! Umama!
We ni boy acha form za
Umama! Umama! Umama!
We ni boy acha form za Umama!
Kama we hujaza status, shika kamisi
Unaishi kwa dem na huko ndo unadishi
Umama manze, mi nashuku uko kwa jama
Ju hata madem wanashinda wamekukana
Fan wa Chelsea, huwatch futa
Reality show na masoap ni we unajua
Miaka 30 jo unaishi kwa wazazi
Hama manze unaaibisha maumati
Huchezi FIFA, hujui Mia Khalifa(Umama!)
Unapenya Snapp, KingFisher(Umama!)
Ukicheki panya unawika(Umama!)
Ati unaogopa hadi giza(Umama!)
Si unitext manze jo nimeboeka(Umama!)
Ukikosa form unaleta(Umama!)
Kubehave ka dem ananyesha(Umama!)
Na kama unapenda kusengenya(Umama!)
Umama! Umama!
We ni boy acha form za
Umama! Umama! Umama!
We ni boy acha form za Umama!
Mtaani nilicheki akishika mtu wa nduthi kwa waist
Aii ayayaya, alafu nikaskia tei zake ati huwa ana chase
Ghai ghai ghai, mmmh sipendi boy ana umama
Kwanza kama anapenda kubishana
Toto kam jo unaskia kunyonya
Mi hushuku wewe husquart ukinyora
Si unitext manze jo nimeboeka(Umama!)
Ukikosa form unaleta(Umama!)
Kubehave ka dem ananyesha(Umama!)
Na kama unapenda kusengenya(Umama!)
Umama! Umama!
We ni boy acha form za
Umama! Umama! Umama!
We ni boy acha form za
Umama! Umama! Umama!
We ni boy acha form za
Umama! Umama! Umama!
We ni boy acha form za Umama!
We ni boy acha form za Umama!
We ni boy acha form za Umama!
Watch Video
About Umama
More RICO GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl