Kuja mbaya is the most a waiting Genje livity Featuring Exray, an artist from Boondocks Gang Grou...

Kuja Mbaya Lyrics by MBOGI GENJE


Ni juu ya mzing saa hii niko ching-ching
Lugha ya kimambo hadi niko jing-jing
Nimenyanya, niko dim-dim
King king, matululu ting-ting
Ah di badman, niko ping-ping
Wesh ako futi sita huskii juu ya dikwara
Kabla nikuchai, nikupeleke na mtara

Gwala gwala, zied, dala dala
Gala gala wote watakudara
RIP Vasco huskii inna di rush
Moment of silence, tuwashie shash
Juzi walimuok na ati leo wamepasha

Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga)
Na nimebonda vile niko mogoka (Niko)
Machingri bado zinacheza kwa mongo
Nakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the riambez)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the)

Luku diriba, toja imenyoa kungira (Ngira)
Alele, leo kuserekwa pira (Wako pira)
Na machaji leo tuko maondira
Makang'ethe ni manduki za mafila
Shashola ndio siezi ishi bila
Kaki-dim nakiliet na warena (Na warena)
Wakichuom nawavutia mbegega (Mbegega)
Round hii, itabidi wameteveva (Wameteveva)

Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga)
Na nimebonda vile niko mogoka (Niko)
Machingri bado zinacheza kwa mongo
Nakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the riambez)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the)

Mi hukamilisha, zangu ni clean sheet
Slippery, wanadai niko ma-grease
Niko full-term, ongeza pace
Hii watasema tumechaja na ni venye niko ganja
Mi ndio ndonga ule mpapa
Na ndio fisi hatari, tena sana

Bila pressure kama puncture
Mi m-hard kaa, "Fuliza, we Okoa"
Beti na mahedi ziko kwa kebi
Niko rampage za wikendi
Kaa ni box, utazama bila expense
Alialala Lupita, usizundishie team

Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga)
Na nimebonda vile niko mogoka (Niko)
Machingri bado zinacheza kwa mongo
Nakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the riambez)
Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa)
Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the)

Kwa sinting, wacha tifla na maefla
Wamemokre kwa malegi na mafozi
Kidale, piga wabling na mandunya
Mang'oi, kuwakata na manyoi (Nyoi)
Waafisa wametambua maroko (Roko)
Ma-TBN, mi huwatekesa maombling (Ombling)
Dimanga, ma-ghetto yout wanasofa
Kwa Jah Jah, wote tuko tu Ital
Jaba yu ni za kizing, ni za topa (Proper tings!)
Kunikibla na madibla (Dibla)

Uh, sina mbogi Jeri  ju wote walikang'wa
Far East, morio anzenza alimangwa
Nitam-face mamu wako akini-diss
Ess wa D dii hadi yeye alitii, ati
Geng geng zako vako beng shit
Keng keng, wakiritho, masid
Ked Ked doba na makali
Nganya huko area ni Safari Rally

Watch Video

About Kuja Mbaya

Album : Kuja Mbaya (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 03 , 2020

More MBOGI GENJE Lyrics

MBOGI GENJE
MBOGI GENJE
MBOGI GENJE
MBOGI GENJE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl