
Ananipenda Lyrics
...
Ananipenda Lyrics by RICH MAVOKO
Kana madimpozi akicheka ana mwaanya
Hana maringo hakataki kujuaana
Penzi limenogaa chuzi biriani
Yako inanitoshaaa, we ndio wa ubani
Mimi ni wake na ye wangu mi aahh
Tumeshibana kisawa sawa aahh
Sa kwengine mi nifuate nini aahh
Yeye tabibu ananipa dawa aahh
Ananipenda nami ninampenda kweli
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Aaahh
Bebiii nikuite nani iwe sawa
Huniii penzi letu nyunyuzia dawa
Bebiii nikuite nani iwe sawa
Huniii penzi letu nyunyuzia dawa
Mimi ni wake na ye wangu mi aahh
Tumeshibana kisawa sawa aahh
Sa kwengine mi nifuate nini aahh
Yeye tabibu ananipa dawa aahh
Ananipenda nami ninampenda kweli
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Ananipenda nami nimemweka moyoni
Watch Video
About Ananipenda
More RICH MAVOKO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl