La Casa Lyrics by REGGEA UNIVERSITY


Wagwaan 
35/60 

Sansana, sansanif 
Sasa na mazigi ndani ya basin
Rende sticks siz ziko missing
Happy life roll light highre
Request come -- 
Burn till day and night
Does one come for the plan
They stay till it go
But they still grow
But ikigrow (La Casa, La Casa, La Casa)

Mangwaka mangwaka 
Ngwaka mi nawasha nikitaka
Baze nawasha tukizaza
Buda tukikam utagwaya
La Casa, La Casa 
La Casa ngoma kali mtapata
Ju wadas walikam na ubaya
Wanapanya wanabaki wamegwaya

Mangwaka mangwaka 
Ngwaka mi nawasha nikitaka
Baze nawasha tukizaza
Buda tukikam utagwaya
La Casa, La Casa 
La Casa ngoma kali mtapata
Ju wadas walikam na ubaya
Wanapanya wanabaki wamegwaya

Ya moshi chuma ya toshi
Buda niko highre ka kina Totti
Jeshi mbaya jeshi ya Northi
Ya wangoi wanapenda tu mamoshi

Najiamini na sijigambi
Ukitaka kaulize hadi Mugambi
Wanadai sina ganji 
Na nikiingia kwa Est nafloss tu na gari
Mashallah ningekuwa daktari 
Ningekuwa natibu magonjwa mbali mbali
Kipindupindu ogopa hio maradhi
Kipindupindu huleta hadi mauaji
Inshallah God amenipa kipaji
Nataka niwaroge nifike hadi River Mbaji
Ogopa curfew na mbogi ni ya Matiang'i
Utapiganishwa vita utajipata uko ndani eeh

We hukumbuka kuoga after siku ngapi?
We hufua boxer after siku ngapi?
We huchange toothbrush tena miezi ngapi?
Uvajo ulivunja na miaka ngapi?4

Wapenzi kwa roho yako wako wangapi
Watoto umetoa copy wako wangapi?
Madem umedoz nao wako wangapi?
Una sura ino but akili dirty

How sure you wanna know
Uvajo ulivunja na walalo
First kiss iliwa na ndauwo
Ex na miss anaitwa Wambo
Nastay Umo nilichop Tuma
Ikikam ni ndom naseti mo
Nakuwa uma, umejituma nadai wajuniour 
Team ya futa 

Mangwaka mangwaka 
Ngwaka mi nawasha nikitaka
Baze nawasha tukizaza
Buda tukikam utagwaya
La Casa, La Casa 
La Casa ngoma kali mtapata
Ju wadas walikam na ubaya
Wanapanya wanabaki wamegwaya

Mangwaka mangwaka 
Ngwaka mi nawasha nikitaka
Baze nawasha tukizaza
Buda tukikam utagwaya
La Casa, La Casa 
La Casa ngoma kali mtapata
Ju wadas walikam na ubaya
Wanapanya wanabaki wamegwaya

Niko masepa magoro madaya
Unachom liver na bado uko choir
Ka ni mangiso ndo hizo na hire
Vako nakula mamboy mawaya

Usoro umestunya ni hadi nagwaya
Nawanusa nakuta na bado nagwaya
Nauza nashuka inshallah nahama
Punguza kusuka inshallah lala
Sidai fao nadai tu next
Mpee mbao ndo abuy matest
Mtu wake amekonda anatuvalia mavest
Na kama umesoma hutapita hii test
Na bado umechoka na bado hujarest
Mamorio monchoka ndogogio hatuchase
Na noma ikitoka ni mi nawa arrest
Kutoka kitambo kubonda na rende far

Unahate na bado huna favour
Unahate na buda unarelate
Tangu unijue umeshindwa ku explain
Na ka ni ku explain Tortilla ako insane
Baba am full of money in spade
Sai ni baraka tu God inna raid
Na bangi jo si bangi ka Tortilla haparticipate
Mistari jo ni kali itabaki unarelate

Watch Video

About La Casa

Album : La Casa (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 12 , 2021

More REGGEA UNIVERSITY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl