Unaua Vibe Lyrics by RAPCHA


Gachi waonyeshe 
Last King of '90's baby
(Gachi Beats)

So nikamuomba one night stand
Ila kudate na mambo ya kuchuna mi spendi
Manzi kagida bapa dry bila glass
Tukamalizane kwenye nyasi
Dem wa pili nilimuona anajichetua
Kizungu kingi kaona huyu wa kishua
Nikamchanganyia tu ndio akajaa
Ile kulewa akaanza kutapika dagaa

Dem wa tatu nilimwona ametoka chicha
Kanikosha mbaya nikasema hang'oki hapa amekwisha
Nikampiga soundi nikamvuta ghetto
Ile kutoa wig tu ana bonge la ngeu kwenye kichwa

I say unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam

Unajuaga wale wana wa kupangazia
Wanakuaga na tabia flani sio za kuaminia
Anasema amekata pisi hadi inachuchumia
Pisi full inamlilia
Kumbe hata busu hajaambulia

Unaua vibe babu unaleta hisia
Mapenzi ya huruma huruma yapo kwenye tamthilia
Bia umelipia, msosi chumba umelipia
Mpaka mchezo umelipia afu unapangiwa pa kumwagia

Juzi mwanao kateka shpapi ya kuokota
Mitaa flani ya kati kino apo kwa mwanamboka
Pisi ikataka kulipwa povu linamtoka
Mwana kachimba na shuka mara pah! likadondoka

I say unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam

Juzi kati nilitoka sijui saa ngapi
Ninachokumbuka nilimkuta kwenye party
Zama room chapu chapu mi si nataka mikasi
Nikaskia piga vingapi na mfukoni una shingapi?

Kutana na mtoto ana nane figa
Smoking hot kama amenyonga wida
Samahani mum sick afu we ndo tiba
Kuwaonyesha wana picha si wote walishapiga

Kuna wana wana mishe za kisee
Gambe anagongea analewa afu mawenge
Yaani pisi kali hivi hivi tu upitishe wembe
Yaani huna gari, huna pesa alafu tu akupende?

I say unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam

Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam
Unaua vibe unaua 
Unaua vibe unanikata steam

Ameyatinga kinoma
Mwache acheze ajimwage
Tinga kinoma
Dj tena idondoshe

Ameyatinga kinoma
Mwache acheze ajimwage
Tinga kinoma
Dj tena idondoshe

Watch Video

About Unaua Vibe

Album : Unaua Vibe (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Bongo Records
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 08 , 2021

More RAPCHA Lyrics

Low
RAPCHA
ICU
RAPCHA
RAPCHA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl