Enjoy Lyrics
Enjoy Lyrics by RAPCHA
99 Everything
Last king
Oya Moko moko yes au vipi?
Tujiachie ka hatuna kesi au vipi?
Pakizidi unyama tunapoa au vipi?
Pakiboa tunachimba fresh au vipi!?
Wakizingua nazingua eeee au vipi!?
Fresh tu kavu yes au vipi!?
Wachumba wakishoboka hatuvungi au vipi!?
Macho yote yapo on us kwani vipi?
Vipi Tag lako la kidwanzi au vipi!?
Hivi wanajificha wanajibrand hawa vipi!?
Meza zichafuke times two au vipi!?
Na jikoni mpaka tuongee au vipi!?
So what’s next?
Kaokote, ukipata enjoy
Kaokote, ukipata enjoy
Kaokote, ukipata, enjoy
Kaokote, ukipata enjoy
Na vikao hufanyika bar au vipi!?
Vinginevyo tutakua busy kwan vipi!?
Unaenjoy zaidi ukilipia au vipi!?
Pesa haikai ikitulia au vipi!?
Party don’t stop tunahama au vipi!?
Suka endesha kama imeibiwa au vipi!?
Tochi zote zimeshalipiwa kwan vipi!?
Jah tu ndo anatuprotect au vipi!?
Living our life to the best au vipi!?
Kitakachoturudisha down sjui kipi!?
Circle itabaki kuwa tight au vipi !?
Kutokujuana ni silaha au vipi!?
Kaokote ukipata enjoy
Kaokote, ukipata enjoy
Kaokote, ukipata enjoy
Kaokote, ukipata enjoy
Tunchy master
Dj keep it on repeat au vipi!?
Watch Video
About Enjoy
More RAPCHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl