Bembeleza Lyrics
Bembeleza Lyrics by QUICK ROCKA
(Switch)
Eeh, beiby beiby
Beiby(Ammy)
You care for me too much me I feel good
Nishaweka bizy na house man I stay true
Bingu ya saba ndio mahali umeniweka buu juu
Juu ya jiwa juu ya mwezi juu ya Nyota
Umenifanya general umenipa manyota
Wanifanya nahisi kama mi naota
Yaani murder ndio kesi ukija niponyoka
High grade penzi lako mama mi namoka
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho
Mpaka pumzi ya mwisho maybe even more
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho
Mpaka siku ya mwisho maybe even more
Nikiwa nawe I feel so peaceful
My lady wash away the pain
Uwepo wako kwangu simple
Ni kama blood inside my veins
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe
Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe
Sichoki hata kukutazama kisura
Sitaki ata kukukoseshaga furaha
Wewe ndo umefanya nimejuwa
Kupenda unapopendwa raha
Ona tunavyopendana
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho
Mpaka pumzi ya mwisho maybe even more
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho
Mpaka siku ya mwisho maybe even more
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Ooh ooh, naskia raha nikiwa nawe
Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe
Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe
Watch Video
About Bembeleza
More QUICK ROCKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl