Kichuna Lyrics

QBOY MSAFI Tanzanie | Bongo Flava, Bongo Flava

Kichuna Lyrics


Show me lover
Girl my lover

Its new Aloneym pon De beat

Hekima uvumilivu wake
Akanizuga mwengine simuoni
Busara na michezo yake

Haiba tamu pendo lake
Kanipumbaza mi ni weweseke
Hodari na utundu wake

Are wanna dance
Are wanna dance dada
Umenishika kwa sita like Shaba

Are wanna dance
Are wanna dance dada
Umenishika kwa sita like Shaba

The way unvyocheza unanichanganya
Zile bingiri bingiri kwa sana
Ukanasa na langu penzi

Ukanikumbatia since day moko
Ukawatema wengi washenzi
Ninavyompatia hawezi kutoroka

Mpenzi kichuna(Zuna)
Anipa mapenzi live live
Mpenzi kichuna(Zuna)
Anipa mapenzi live live

Nitakufuata kule unapokwendaga
Oyee kwendaga
Wewe ni kama nyuki nipe asali mama
Oyee asali mama

Unavyokata hodari, hatari
Twende juu mpaka chini
Au left or right

Unavyokata hodari, hatari
Twende juu mpaka chini
Au left or right

Like Shaba, wachaaa uuuh
Like Shaba, wachaaa uuuh

Nitakutuliza ndani 
Sitokuacha abadani
Safari yangu we nami
Haitoishia njiani

I do believe your love
You do believe your love
I do believe your love
I believe in you, you believe in me 

The way unvyocheza unanichanganya
Zile bingiri bingiri kwa sana
Ukanasa na langu penzi

Ukanikumbatia since day moko
Ukawatema wengi washenzi
Ninavyompatia hawezi kutoroka

Mpenzi kichuna(Zuna)
Anipa mapenzi live live
Mpenzi kichuna(Zuna)
Anipa mapenzi live live

Nitakufuata kule unapokwendaga
Oyee kwendaga
Wewe ni kama nyuki nipe asali mama
Oyee asali mama

Unavyokata hodari, hatari
Twende juu mpaka chini
Au left or right

Unavyokata hodari, hatari
Twende juu mpaka chini
Au left or right

Like Shaba, wachaaa uuuh
Like Shaba, wachaaa uuuh

Leave a Comment