Si Act Lyrics
Si Act Lyrics by PNC
Sometimes nakuwa bize
Mpaka unahisi kama vile nakuboa
No no nazisaka chada
Ili nami nije kukuoa
Never, usije ukadhani nakuchora
Naenda race nami nipate kupoa
Usione sometimes napotea
Napigana nami niweze toboa
Life sio easy mami amini
Baby I know you know
I wanna marry you(aaaaaah)
I wanna marry you(aaaaaah)
Sitaki niishie kukuita shem tu
Walai nami nachotaka ndoa
Una malavidavi nami I love you too
Na upendo wa dhati kwako si wajuu kwa juu
Aha usijihisi vibaya
Kwako najenga himaya
Ukija nitenga we haya
(Hayaa)
Mi nakupenda ile mbaya
Umenishika vibaya
Na sina ajenda ya ubaya
(Hayaa)
I have true love kwako si act
Nipe mapenzi nati nati
Ooh ooh Kwako si act
I have true love
I know you know
I have true love ooh
Kwako nimezama
Kuibuka ni kama lawama, don't stop
Nipende sana nimekwama
We mama mapenzi non stop
Yeah bila madoido
Uko na boy boy
Anavyokupenda mapenzi ya moto
Hayapoi poi
Boko sitoi toi
Wazushi hoi hoi
Napiga kazo kizazi
Wala sio goi goi
Napenda vile unanuna
Wivu ndo vile ni suna
Kwa chemba vile unaguna
Unanifanya vile natuna
Mtoto kama wewe hakuna
Ndo maana nipo race
Kila siku najituma
Mi nakupenda ile mbaya
Umenishika vibaya
Na sina ajenda ya ubaya
(Hayaa)
I have true love kwako si act
Nipe mapenzi nati nati
Oooh ooh kwako si act
I have true love
I know you know
I have true love ooh
Usijehisi vibaya
Kwako najenga himaya
Ukija nitenga we haya(hayaa)
Watch Video
About Si Act
More PNC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl