Pepea Lyrics by PETRA BOCKLE


Hii ngoma isambe kinoma
Najua huyu kipande inasoma
Na simi kama charter kila boma
Nakimbiza mahustler kila kona

Sioni jinsi gani watapona
Na hizi kadi zao easy come, easy go
Na basi kazi kwao tumetawalia makoo yao
Hapa sikuhakikishii usalama kabisa

We ni shughuli fupi tu kama tiza
Kabla sijasema si washamaliza
This time around hakuna kuunga unga
Matizi wanaopunga upepo
Wengine kisa mpunga ni pepo nakemea

Nobody cares, utamdekea nani hapa
Hatuna mbeleko nenda bed day care
Shame number zinachange 
I can never be the same, same

Huwezi kubishana nami, niko high ninapepea
Sisi tukichapa kazi hizo zao ni kuhemea
Pepea eyaa, hizo zao ni kuhemea
Tunapepea eyaa, hizo zao ni kuhemea

Everybody knows the king mess with me
Check my rhyme book homie for the recipe
Bitch am getting money, nobody wasting my time
I be all up on my grind but -- a entire miss

I keep it lowkey but then I gotta shine bro
Vitisho tushazoea hizo mambo
We killin and I speeding up like a turbo
For sure, we about to blow
Leo weusi hapa mna shadow 
Tupo juu tu sana wengi hawajafika bado
Yeah we poppin all the bottles 
Kama kawa kama dawa tunapata dollar 
Mi najua Makini twawafanya wapagawa

Am di typa gal want take your man
When me ah pop it and I drop--
And it a lot of de ting Expose the business 
And if you tell your gal I swear de ting set

Am di typa gal want take your man
When me ah pop it and I drop--
And it a lot of de ting Expose the business 
And if you tell your gal I swear de ting set

Huwezi kubishana nami, niko high ninapepea
Sisi tukichapa kazi hizo zao ni kuhemea
Pepea eyaa, hizo zao ni kuhemea
Tunapepea eyaa, hizo zao ni kuhemea

Nobody cares, utamdekea nani hapa
Hatuna mbeleko nenda bed day care
Shame number zinachange 
I can never be the same, same

Huwezi kubishana nami, niko high ninapepea
Sisi tukichapa kazi hizo zao ni kuhemea
Pepea eyaa, hizo zao ni kuhemea
Tunapepea eyaa, hizo zao ni kuhemea

Huwezi kubishana nami, niko high ninapepea
Sisi tukichapa kazi hizo zao ni kuhemea
Pepea eyaa, hizo zao ni kuhemea
Tunapepea eyaa, hizo zao ni kuhemea

Watch Video

About Pepea

Album : Pepea (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 30 , 2019

More PETRA BOCKLE Lyrics

PETRA BOCKLE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl