Gutha Ololo Lyrics by PELIAN GANG


Hitman ting hitman ting
Badman ting badman ting

Ka ni kumurder, hii ni murder case
Ka ni kuwika bana si awike incase
Naigutha naigutha na haste
Akiiguza itamore na pace

Gutha gutha ololo 
Aah gutha gutha ololo 
Sema gutha gutha ololo 
Gutha ololo, gutha gutha ololo 

Ka ni kumurder, hii ni murder case
Ka ni kuwika bana si awike incase
Naigutha naigutha na haste
Akiiguza itamore na pace

Mtoto si ana haga size ya mabude
Si haga imefura haga alipakaga mafuta
Unaskia ni debe inachuna venye nakuta
Mistari mi naroga inabomoaga ukuta

Ju donda leo nina nganya kadere mtatii
Ju venye nabebesha inakaa ni ka mtatii
Ati doba inachunaga inadunda na ngwai mass
Naskia ni miaka ngovo hitman jo utatii

Mistari tu zinakam mi naflow na ki-vibe flani
Kali najitepa tu na majirani
Adisia mos mos ka vinchu
Na beat ka ni mbaya basi mimi ndio kingpin

Toa form na sitaki magoshodo machura
Nataka wale wana sura na haga ka Huddah
Lazima kieleweke itabidi wametii
Round hii mi sicheki mi nashikisha kajing

Gutha gutha ololo 
Aah gutha gutha ololo 
Sema gutha gutha ololo 
Gutha ololo, gutha gutha ololo 

Ka ni kumurder, hii ni murder case
Ka ni kuwika bana si awike incase
Naigutha naigutha na haste
Akiiguza itamore na pace

Mi hupenda tu madem wamenona
Wale wasick si wakonda na mahoma
Kwangu Corona kwa gushodo nitaponya
Kimangoto huko down nina ref hata goma

Siko shy niko choosy kama nyasi tu na mbuzi
Kuwakunywa kina Suzy kikahawa na mnazi
Ki karasko sitapromise ju simiss ka Lukaku
Round seven ninakuja na mogoka na madafu

Mami mi nina chuma ya doshi kutoa mamoshi
Hizo zingine hazitoshi huwezi kunja
Lazima jo ukunje na goti
Form mi nadrive kama moti
Na unasquat ni kama unakalia potty
Nimumunyeko mami eh kula njoti
Venye amebeba ni ka ye ni Atoti
Burukenge nakukata kama Pelle
Navuruga mi nazoza ju ya skele

Gutha gutha ololo 
Aah gutha gutha ololo 
Sema gutha gutha ololo 
Gutha ololo, gutha gutha ololo 

Ka ni kumurder, hii ni murder case
Ka ni kuwika bana si awike incase
Naigutha naigutha na haste
Akiiguza itamore na pace

Kufika bei sio kupiga looku
Au kukula mbuku ama kutoka mtu tuli
Mi nina say aii, kuuza ngwai Nai
Kiroko kujidai Darley man

Chukua shoe kafunika piga ponyoto aluta
Kwa kina nyoto pata maguta
Papasa nyoa ng'oro toa haga sikuta
Kutesa ipige mboto 

Ka analia hakana kaguarana 
Kwamilia Stephie nalandana 
Piga cole achana na makaa 
Niko cool bila spanner hakuna mekanana 
Lipa bill ikikwama kopa Tala
Kila yoh anagwaya gota mala
Akidombola ushalolama
Nyamboke wa pekee tareke chakuma

Gutha gutha ololo 
Aah gutha gutha ololo 
Sema gutha gutha ololo 
Gutha ololo, gutha gutha ololo 

Ka ni kumurder, hii ni murder case
Ka ni kuwika bana si awike incase
Naigutha naigutha na haste
Akiiguza itamore na pace

Watch Video

About Gutha Ololo

Album : Gutha Ololo (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 29 , 2020

More PELIAN GANG Lyrics

PELIAN GANG

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl