Liinuliwe Lyrics
Liinuliwe Lyrics by PASCHAL CASSIAN
Eeh Baba
Baba yangu ninashukuru
Mtetezi, mtetezi wangu ninashukuru
Eeh mungu
Mungu wangu ninashukuru
Nilikwa sio wakupona
Baba yangu umeniponya
Nilipoteza tumaini, tumaini umenipatia
Nilikuwa wakudharauliwa
Mungu wangu umeniheshimisha
Umeshangaza adui zangu
Mungu wangu ninashukuru
Umenipatia jina jipya
Mungu wangu ninashukuru
Eeh Baba
Baba yangu ninashukuru
Eeh Yesu
Yesu yangu ninashukuru
Mfariji wamoyo wangu
Kweli leo nakushukuru
Mtetezi wa maisha yangu
Baba yangu nakushukuru
Sina chakulipa
Ninakosa chakulipa eeh
Ninakosa chakukulipa mungu wangu Baba yangu
Ninakosa chakukulipa mungu wangu Baba yangu
Liinuliwe jina lako, liinuliwe jina
Litukuzwe jina lako, litukuzwe jina
Liinuliwe jina lako, liinuliwe jina lako
Liinuliwe jina lako
Litukuzwe jina lako
Liinuliwe jina lako
Sio kwamba walio kufa
Niwenye dhambi kuliko mimi
Sio kwamba walio lazwa
Niwenye dhambi kuliko mimi
Sio kwamba waliokosa watoto
Niwenye dhambi kuliko mimi
Sio kwamba wanao pata shida
Niwenye dhambi kuliko mimi
Sio kwamba wanao lia leo
Niwenye dhambi kuliko mimi
Sio kwamba waliofiwa
Niwenye dhambi kuliko mimi
Bali mimi nineema tu
Ndio maana ninakushukuru
Huenda mimi ndiye mdhambi
Mdhambi kuwapita woa
Kufika leo nineema kwangu
Ndio maana ninakushukuru
Huenda mimi ndiye mdhambi
Mdhambi kuwapita wao
Eeh Baba
Baba yangu ninashukuru
Eeh Yesu
Yesu yangu ninashukuru
Mfariji wamoyo wangu
Kweli leo nakushukuru
Mtetezi wa maisha yangu
Baba yangu nakushukuru
Sina chakulipa
Ninakosa chakulipa eeh
Ninakosa chakukulipa mungu wangu Baba yangu
Ninakosa chakukulipa mungu wangu Baba yangu
Liinuliwe jina lako, liinuliwe jina
Litukuzwe jina lako, litukuzwe jina
Liinuliwe jina lako, liinuliwe jina lako
Liinuliwe jina lako
Litukuzwe jina lako
Liinuliwe jina lako
Nitatangaza jina lako
Paka mwisho wa uhai wangu
Nitatangaza sifa zako mungu
Paka mwisho wa safari jangu
Nitatangaza jina lako
Paka mwisho wa uhai wangu
Liinuliwe jina lako, liinuliwe jina
Litukuzwe jina lako, litukuzwe jina
Liinuliwe jina lako, liinuliwe jina lako
Liinuliwe jina lako
Litukuzwe jina lako
Liinuliwe jina lako
Watch Video
About Liinuliwe
More PASCHAL CASSIAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl