Maisha Katika Dunia Lyrics
Maisha Katika Dunia Lyrics by PAPI CLEVER & DORCAS
Maisha katika dunia ni kama kupanda na ‘vuna
Apandaye katika mwili atavuna uharibifu
Tukitumikia Mwokozi tutapata thawabu mbinguni
Yafaa kuishi na kufa katika maneno ya Mungu

Kwa neema kubwa kabisa tumekubaliwa na Mungu
Kwa neema kubwa zaidi twapata kumtumikia
Kuishi kwa ‘jili ya yesu kati’ yote ya dunia hii
Na kuitangaza injili ni faida kwetu kabisa

Wakristo wata’poingia mbinguni kusifu Mwokozi
Na mimi nataka kufika kuimba pamoja na wao
Tutamshukuru mwokozi aliyetununua kwa damu
Waliohudumu kwa pendo watamhimidi milele

Watch Video
About Maisha Katika Dunia
More PAPI CLEVER & DORCAS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl