Hop Step Lyrics
P Unit & Prezzo releases new song - Hop Step, Best collabo 2020 despite covid 19 .This is a n...
Hop Step Lyrics by P-UNIT
Kompakt Records
I mean say hop step
Hop step yeah
Unayumba yumba
(It's your favourite boy)
(Kashkeed on the track)
Unahop, step hop step
Unayumba yumba unakata rhumba
Unahop, step hop step
Unashikanga mkia ju hauskii mwalimu
Hio sio chungwa umekula mandimu
Si mambo ya huku chini inakuwaga muhimu
Basi nipe moja mbili nishikwe na wazimu
Eyoo Frasha mi sinanga dumba
Na hizi zote blessings za muumba
Na venye nimeunga naona nikiwasamba
Na kama hujashika bana mi ni mkamba
Niko na essentials za ma ovacado
Makarao kwa roadblocks songa kando
Welcome man karibu everything I can handle
Nitakuchorea ka cartoon za Gado
Tunapenda hepi everyday, walee wana
Hepi everyday, wale wana wana
Tunapenda hepi everyday, walee wana
Hepi everyday, wale wana wana
Unahop, step hop step
Unayumba yumba unakata rhumba
Unahop, step hop step
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Niko na socks moja na si pair mbili
Mtoto akilia weka firi firi
Ah mi niko ndani si anahubiri
Utam ukishika jaza mbili mbili
Eyoo verse ya pili hakuna bursary
Na kila itabu yoh kushinda Passary
Kare pale tulikoseaga
Ko kukoseaga hapo mi hutega
Eyoo vitoto vidogo navipiga vibare
Still bado 20 tangu siku za kale
Siku za kale, eeh siku za kale
Naitwa Jackson na bado naleta action
Tunapenda hepi everyday, walee wana
Hepi everyday, wale wana wana
Tunapenda hepi everyday, walee wana
Hepi everyday, wale wana wana
Unahop, step hop step
Unayumba yumba unakata rhumba
Unahop, step hop step
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Ruka ndani ya bima form ni kusimsima
Party haziishi si tukianzisha
Kumejaa madiva order me more liqour
Kashaanza guza wire hakaogopagi stima
Tunapenda hepi everyday, walee wana
Hepi everyday, wale wana wana
Tunapenda hepi everyday, walee wana
Hepi everyday, wale wana wana
Unahop, step hop step
Unayumba yumba unakata rhumba
Unahop, step hop step
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Unayumba yumba unakata rhumba
Watch Video
About Hop Step
More P-UNIT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl