One By One Lyrics
One By One Lyrics by JAAMSESSION
Che che che cheza na sisi
One by one, one by one
Mapenzi yetu na wewe
Hamida Aisha tuling'ang'na kukazana
Hey hey hey
Hello, baby, be my lady
Mi siwezi kukutapeli
Nakuenzi you by me daily
You by me daily
Coz One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
Take it slow, twende pole pole
Tutasonga mbele, we ni wa milele
Na ni wewe, wangu wa sherehe
Nitakuvisha pete, you're my machette
One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
My number one, acha rush
Nitakuwa nawe milele
Milele daima, ni mwenye fadhila
Sitakulilisha milele
Tuwe na Jamala, penzi la dhamani
Ndo tuzae Jamila Aisha
One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
Na milele nakuweka mbele
Mpenzi wa maisha, Aisha
Wewe unatosha, mwanzo tena mwisho
Nakupenda Aisha
Nipeleke kwa mama yako
Mi nilipe mahari, mi niko tayari
Nipeleke kwa mama yako
Mi nilipe mahari, mi niko tayari
One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
One by one
Mashallah nitakuwa nawe milele
Nikiwa nawe sitembei
Naburuka ruka kama ndege
Nikiwa nawe sitembei
Naburuka ruka kama ndege
Watch Video
About One By One
More JAAMSESSION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl