Imani Lyrics

ONE SIX Tanzanie | Bongo Flava,

Imani Lyrics


Hali sio my mama
Usichoke vumilia ya mashida tu
Hali si unaiona
Sina mchungwa nimeokota maembe

Wametufilisi kila kitu
Tumeamulia kitanda
Tungelipa vipi ule mkopo
Wezi walishaiba kitanda

Uhai cha kwanza shukuru
Bado tutaishi hivyo hivyo
Tukisonona tutakufuru
Ingawa madhiki hivyo hivyo

Aii hatujakatwa miguu
Wala hatujakatwa mikono
Tusivunjike mioyo
Yupo Mungu ana maono

Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)
Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)

Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)
Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)

Kama niliweza kuchoma mahindi
Ukulima vibarua na baridi ya mzigi
Kumbuka niliweza kuhustle mgodini
Ungali na mimba kamtoto tumboni

Tukaja ishi kistaa
Tz nzima, One Six, One six tu
Na ule ukubwa jina
Mtaa kwa mtaa, One Six, One six tu

Bado naamini tutasimama tena
Tena tena
Baby niamini tutainuka tena
Tena tena

Uhai cha kwanza shukuru
Bado tutaishi hivyo hivyo
Tukisonona tutakufuru
Ingawa madhiki hivyo hivyo

Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)
Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)

Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)
Bado nina imani 
(Imani, imani, imani, imani, imani)

ONE SIX (4 lyrics)

One Six aka, 'The Vocalist Of Africa' is an artist from Tanzania. One Six was featured by Roma in 'Naitwa Roma' which is one of his biggest feature.

Leave a Comment