Wewe Lyrics
Wewe Lyrics by OCTOPIZZO
It’s 8town! Welcome to Octopizzo ministries
Pizzo De
Si unajua venye si ufanya bana
8town! Pizzo De What! King
Ni wewe tu baba, ni wewe tu
Ni wewe tu Octo, ni wewe tu
Baba yetu
Barz ni ka nimehepa jela
Uliza nani namba moja
Kila siku wanangoja
Hizo zingine vuvuzela
Zangu piga acapella
Murder beats well wella
Zangu daily saka hela
Nani ametoka yolo
Tena uski narudi moro
Buda seti asha hio koro
Wuod Nyaboro, bade dongo
King wa rapa hapa nani?
Sitoi rangi hizo gani
Sura ngumu mi ni chali
Presidential niko rally
Nasa hao kila mahali
Ni wewe tu baba, ni wewe tu
Ni wewe tu Octo, ni wewe tu
Baba yetu
Ni wewe tu baba, ni wewe tu
Ni wewe tu Octo, ni wewe tu
Baba yetu! Gang gang
Baba yetu alie Kibera
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako na ufike
Pizzo de king and you know it
Gang Gang, wewe wewe wewe
Nawachenga Maradona
Chini yangu hao door mart
Bila tailor tumeshona
Ule mbleina nilimurder
Hana mafans siku hizi
Wale wote ni ma mourners
Tunachana wapi gomba?
Kila siku niko sober
Nane massive tuko doba
Shika nare mini copper
Uliza hazi wa size 8
Atakusho mi ni topa
Ikikuja ni mangoma bana
Mi upatia ma DJ more
Zangu zinatoka na album
Album yako ni ya picha
Na picha yenyewe ulichoma
Pizzo De king mi ni Noma
Ballin mi ni Kobe
Dry clean mini dobi
Naji nice hii ni hobby
Niki Cheza chini niko lobby
Ukicheza chini uko mopping
Original wee ni copy
Ni wewe tu baba, ni wewe tu
Ni wewe tu Octo, ni wewe tu
Baba yetu
Ni wewe tu baba, ni wewe tu
Ni wewe tu Octo, ni wewe tu
Baba yetu!
Eey Kibera Namba Nane ngori
Ka rada cheki pori
Bow down sema sorry
King King hapa nani?
Ambassador hapa nani?
Billboard pale nani?
Ndula kila siku nani?
Tumeunga bila unga
Walami daily nina lugha
Macho lazy niko ngunga
Teke teke Lunga Lunga
Waki catch sema tena, tena tena
Waki catch sema tena, weuwe weuwe weuwe
King Pizzo 8 ah ingine
Watch Video
About Wewe
More lyrics from Fuego album
More OCTOPIZZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl