Kamikaze Lyrics
Kamikaze Lyrics by OCTOPIZZO
OCTOPIZZO - Kamikaze lyrics
Namba nane kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kazi
Cash check madeposits
Wasupa daily wanateta
Ulimi ya Octo manze panga
Nikitema nawakata
Mbao mbao mi makanga
Nimembao bila randa
Rada wapi dada
Blunder sina shada
Murder hii matanga
Namba nane tunachanga
Nikipull up wanashangaa
Ey, Pizzo de working
Name Ohanga John clean de
Tuko kwa ring ring
Chini ya maji ni ma win
Splash splash mi na swim
Cash cash mi nawin
Puff puff pewa wind
Stay fly bila wings
Aim high bila weed
Mbegu nyingi pewa seed
Mbili mbili hizi twins
King king hao queens
Panguza ndula cheza chini
Uppercut chunga chin
Lamu zangu breeze
Kalamu ina bleed
Icecube wamefreeze
Achiu' nime sneeze
Namba nane kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kazi
Cash check madeposits
Namba nane kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kazi
Cash check madeposits
Baby look look look, look at me
I be ushered when you look at me
What do you see?
Pizzo the King
Baby look look look, look at me
I be ushered when you look at me
What do you see?
Pizzo the King
Akili nywele we kipara
Mheshimiwa hii idara
Msupa cheza chini bana
Hizo haga nazidara
Hapa iko nini buda?
Bila kicha nawagwara
Wamerun mi nishapara
Kata miti chonga shamba
Bonga mbaya kula pamba
Funga leso pewa kanga
Napenda kuku mi namanga
Poshomill mi nasiaga
Dem ni teargas
Teke teke hii ni riadha
Burn nasi, hii ni real hapana fantasy
Galaxy cheki fiti mi ni star nani
Hennessy, mwaga chini hii ni murder scene
Ka ni beef, leta nyama nina magazine
Scarry scene, kila kitu hapa Halloween
A strings, na titi mi hapa na violin
Violence, bana bana sipendi violence
Chipo mwitu Pizzo ongeza mayonnaise
Namba nane kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kazi
Cash check madeposits
Baby look look look, look at me
I be ushered when you look at me
What do you see?
Pizzo the King
Baby look look look, look at me
I be ushered when you look at me
What do you see?
Pizzo the King
Watch Video
About Kamikaze
More OCTOPIZZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl