NyaNya Lyrics
NyaNya Lyrics by NINO TZ
Ah baby nya nya nya
(Dapro on the)
Huh kama umekula raha baby, zima taa baby
Mwenzio nina njaa nipoze na joto la Dar baby
Ukiskia shaa baby, ujue kashaa baby
Yuko ndichi so kifuatacho furaha baby
Inuka unishike kifua
Vuta unachoweza chukua
Kumbuka unavyobinua mgongo unasasambua
Bongo nawaza pure, mchongo ni mi kuwa na wewe milele
Udongo ukinichukua
Huh nimesahau shida mamacita
Mashini mpaka muda wa kupika
Usiku mpaka jogoo linawika
Mikunjo kwa wima ni patashika
Yaani pilika pilika
Bilinge bayoyo asijewika
Sasa nipe yote yote sikukinai
Nikope hadi moyo sitokudai
Nimekuta embe kwenye mpapai
Na ni nyaku
Leta nikuangulie
My baby nya nya nya
Leta nikuangulie
My baby nya nya nya
Mwili mawazo vipo kwako darling
Hata usiponirudisha shwari
Niwe mfungwa wako nimekubali
Wakija na dhamana usikubali
Nitatumikia penzi lako hunnie
Ila shifti mi siwezi
We ndo chombo yangu hunnie
Malift mi siwezi
Haipiti siku nisifikirie
Mi nisharogeka my love
U-- ni kwao lile
Kubali nakupenda my love
Sasa nipe yote yote sikukinai
Nikope hadi moyo sitokudai
Nimekuta embe kwenye mpapai
Na ni nyaku
Leta nikuangulie
My baby nya nya nya
Leta nikuangulie
My baby nya nya nya
Watch Video
About NyaNya
More NINO TZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl