Shoga Cover Lyrics

NINI Feat MTAFYA Tanzanie | Bongo Flava,

Shoga Cover Lyrics


Ninaulizwa mimi na wewe mbona hatuelewani
Wakati urafiki wetu kila mtu anaufahamu
Ila leo lazima niseme
Kuwa wewe ni mzushi tena muongo

Na kumbe una lako jambo
Uliponishauri niachane naye

Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe

Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana 
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana 

Sikutegemea, ungenigeuka tena bila aibu
Umenikosea
Inaniuma sana ulivyonitenda
Tuone furaha yako itaishia wapi

Sikutegemea, ungenigeuka tena bila aibu
Umenikosea
Inaniuma sana ulivyonitenda
Tuone furaha yako itaishia wapi

Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe
Hata wewe, hata wewe
Hata we shoga yangu, hata wewe

Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana 
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana 

Nitapata wapi rafiki mwema
Kila rafiki adui tena
Nakula nawe, nacheka nawe
Nikikupa chongo ndo unanisema

Hata ukisema vibaya(Sawa)
Niombee mabaya(Sawa)
Kunja roho mbaya(Sawa)
Moyoni nina Jesus power(Power)

Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana 
Inasikitisha, inasikitisha
Inasikitisha, sikitisha sana 

Leave a Comment