Kirimino Lyrics
Kirimino Lyrics by NELLY THE GOON
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Yo ni kirimino
Kama ndlama buda boss kama vindio
Me nacheki blue unacheki indigo
Nakupenda ata ukinita indiot (Aiee!!)
Yo ni krimino
Ukirombosa ile part more critico
Ukidai can we get more physico
Ukiwasha gode past baze scenico
Yo ni kirimino
You are kirimino
Ntakupata pale mbele kwenye pinaco
Leo Nairobi kesho nakucheki Singapore
Uku kwetujo ! Si karibu na liquor store (Aiiee )
Si hio Ni kirimino...( X7)
Yo ni kirimino
Ita soldier kuna vile tume vamiwa
Na mabooster wote leo wame fagiwa
Manzi wangu wanadai kum katia
Na yee ni chizi mazee
Anawapatia
Utamu wa pesa ni kujibebea
Ndo kirimino wasichecki nikipedea
Na magova wakizusha ninajitetea
Huezi nipata pale tao nikilegea
Manze mtaani zimeshika tu ki de gea
Red devils betslip nime ekelea
Ikaogelea, nitaendelea Kweli
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Yo ni kirimino
Donne yeng na maveng El matador
Nina Mali toka Kenya hadi Mexico
Ka ni mchezo mi napenda El classico
Kan ni pongi naiendesha kama Bicyco
Ka ni simu mi nabonga kwa materminal
Na kwa meza nawameza kama ANIMAL
Wakilia nawatibu kama Panadol
Zikizidi naongeza Parasitamol
Ka umesota na umedunga
We ni kirimino
Ka unasponyo unaishi githo
We ni kirimino
Una haga na hauna sura
We ni kirimino Aiiiie !!!!
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Watch Video
About Kirimino
More NELLY THE GOON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl