Nikikuona Lyrics
Nikikuona Lyrics by NAY WA MITEGO
Gal unanikosha
We ndio faraja yangu usawa huu
Wengine walinitocha
Kisa sina vyangu mtembea kwa miguu
Mungu fundi amenileta wewe
Unavyo nikataga nakuita kiwembe
Ukiwa shambani unanitaga jembe
Ukichoka bongo twende kwa madiba
Naogopa hapa bongo watakuiba
Jinsi ulivyo mzuri unanipa shida
Naniliyo na manguvu si nitawapiga
Am in love, am in love
Am in love, am in love
Am in love with you
Am in love, am in love
Am in love, am in love
Am in love with you
Nikikuona na swety (ayaya)
Kabla ujani petipeti (ayaya)
We ndio yangu apitaitu (ayaya)
Ayayaaa (ayaya)
Nikikuona na swety (ayaya)
Kabla ujani petipeti (ayaya)
We ndio yangu apitaitu (ayaya)
Ayayaaa (ayaya)
Oh my gyal you’re fire
Moyoni wangu sitaweka mwiba nitaulinda usiku mchana
Please don’t get tired
Walijaribu kukuiba nishawafanya kitu mbaya
Baby you change my life
Ikitokea tukiachana mungu akupe good life
Imani yangu inanituma mpaka umauti we ndio wife
Sipendelei ugovi ila for you I can fight
Mama unaniweka roho juujuu (juujuu)
Nataka twende town kwa miguu (miguu)
Penzi lako noma changanya na jujuu (jujuu)
Na kama shule wewe ni chuo kikuu (kikuuu)
Ukichoka bongo twende kwa madiba
Naogopa hapa bongo watakuiba
Jinsi ulivyo mzuri unanipa shida
Naniliyo na manguvu si nitawapiga
Am in love, am in love
Am in love, am in love
Am in love with you
Am in love, am in love
Am in love, am in love
Am in love with you
Nikikuona na swety (ayaya)
Kabla ujani petipeti (ayaya)
We ndio yangu apitaitu (ayaya)
Ayayaaa (ayaya)
Nikikuona na swety (ayaya)
Kabla ujani petipeti (ayaya)
We ndio yangu apitaitu (ayaya)
Ayayaaa (ayaya)
Mama unaniweka roho juju (jujuu)
Nataka twende town kwa miguu (miguu)
Penzi lako noma changanya na jujuu (jujuu)
Na kama shule wewe ni chuo kikuu (kikuuu)
Ukichoka bongo twende kwa madiba
Naogopa hapa bongo watakuiba
Jinsi ulivyo mzuri unanipa shida
Naniliyo na manguvu si nitawapiga
Oh my gyal you’re fire
Moyoni wangu sitaweka mwiba nitaulinda usiku mchana
Please don’t get tired
Walijaribu kukuiba nishawafanya kitu mbaya
Nikikuona na swety (ayaya)
Kabla ujani petipeti (ayaya)
We ndio yangu apitaitu (ayaya)
Ayayaaa (ayaya)
Watch Video
About Nikikuona
More NAY WA MITEGO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl