NAY WA MITEGO Acha Niongee cover image

Acha Niongee Lyrics

Acha Niongee Lyrics by NAY WA MITEGO


The true boy is in the building
Raise
Listen

1.9.8.6 Kamanda nikazaliwa
Mama hakutaka nimbe mziki alitaka nicheze mpira
Shukrani zangu za kwanza ziende kwa mashabiki na
Wote mlo pambana kukuza kipaji hiki
Haitoshi mmenikabidhi mitaa na naiongoza vyema na
Ndo maana mkionewa huwa siogopi kusma
Ila napitia mazito,magumu naya fight
Leo nitawaweka wazi maana mficha uchi hazai
Mzikii ni kawi pekee ninaoitegemea
Na ningekua legelege huenda ningeshapotea
Maana matangazo no, sipewi show
Na nikiabdaa mwenyewe sometimes kibali no
Yote ni kwasababu nimechagua kuwasema, wamefunga
Mikono na miguu la mdomo unaongea
Wasanii  wezangu wanaogopa kunisuport
Katakata wanahofia wakini support wataingia kwenye utata
Kupigwa nyimbo zangu kwenye redioni imekua ngumu
Sizalaumu, wanatetea ugali usije ukawa mgumu
Ila hainitish bado, haigeuzi bango
Haijrishi itakuaje nitaface changamoto
Hizi changamoto kila siku mchana usiku wanasema ,najitakia
Ubabe visisho vyote kwangu kuiona siku namuomba  mungu tu
Yananiumiza ninayopitiayo kila nikiicheza fair bado reffer wao
Hata nisipokzepo zitabaki nyayo, moyoni nina mengi ila machache hayo

Wanasema pasipo mbegu hakuna cha kuota
Pasipo cha kudondoka basi hakuna  cha kuokota
Milima haikutani binadamu wanakutana
Hivi ni nani atanilinda na watu wasiojulikana
Nawasemea (ndio)
Simnaniamini (ndio)
Nawaza nikifubngwa mtaandamana au mtatoka mbio
Nishalala central kisa tu niliimba wao
Mama anasema acha harakati imba kama wenzako
Na kama huwezi acha mziki rudi saloon kwako
Nakaza moyoni kiamini hizi zote ni changamoto
Kiatu changu nikiwapa hakuna atakae kivaa
Ni kikibwa nikizito kila ltu atakikataa, nikitoa nyimbo kumi
Nane zinafungizq nqjiuliza huu ni mkosi au tume nimeundiwa
Kuna wengine wanadhani hua natafuta kiki
Mi ni sauti ya maskini wenzangu wasaka riziki

Hizi changamoto kila siku mchana usiku wanasema,najitakia
Ubabe visisho vyote kwangu kuiona siku namuomba  mungu tu
Yananiumiza ninayopitiayo
Kila nikiicheza fair bado
Reffer wao, hata nisipokzepo
Zitabaki nyayo, moyoni nina mengi ila machache hayo
Nay simama thibitisha nay simama
Nay simama thibitisha nay simama
Nay simama thibitisha nay simama
Nay simama thibitisha nay simama

Watch Video

About Acha Niongee

Album : Acha Niongee (Single)
Release Year : 2021
Copyright : ©2021 Free Nation.All rights reserved.
Added By : Farida
Published : Dec 08 , 2021

More NAY WA MITEGO Lyrics

NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl