Moto Lyrics by NACHA


Aanhaa 
Nacha Na Baba Yaga Kwenye Hii

Toto za machizi kamatia
wakinyea kambi kanyagia
Soda na togwa no bia
Ni uoga na Mbegu ili ikue namwagia

Bapa mbona watalia
Samatta Toka Tanzania
Nacha nacha kachanjiwa
Kwaiyo basata na nyinyi mtafungiwa

Na lina babamba duderee
Nyasubi Mpaka ndandanda kucheree
Maradona ama pepere
Utapata mashuzi umetakaga njegere

Duh dude la Wanangu getto
Ukonga segerea Mpaka keko
Oya Wanangu tukutane sentro
Wafungwa wametoka kucheza yani katikati

Acha hili goma litambee, bila maneno kazi itaongea
Yani Chuma juu ya Chuma Ni cheeche
Mbwa kala mbwa and we don't care
Yani Tumewaka moto moto moto moto moto
Vichwa vimepata moto moto moto moto moto

Eeiiy Stop, jogoo kashindwa kuwika
Ni puturuu mkuyati ama ni nduru mang'ati
Kweli mnachekesha
Mnakuja na miko tusongee maisha

Natikisa, Aitheee
Mpaka mandhethe kwa raithi kitheethee
Ngoma ya moto nipozee
Kati mtu Kati watu Kati Mpaka kuchee

Na lina babamba duderee
Nyasubi Mpaka ndandanda kucheree
Maradona ama pepere
Utapata mashuzi umetakaga njegere

Duh dude la Wanangu getto
Ukonga segerea Mpaka keko
Oya Wanangu tukutane sentro
Wafungwa wametoka kucheza yani katikati

Acha hili goma litambee, bila maneno kazi itaongea
Yani Chuma juu ya Chuma Ni cheeche
Mbwa kala mbwa and we don't care
Yani Tumewaka moto moto moto moto moto
Vichwa vimepata moto moto moto moto moto

Vina Ni-Attack yes cheeza kidogo 
Cheza kidogo usinguse mwenzio
Nyasubi ndani ya mbanyu bebe 
We on top

Duh dude la wanangu ghetto
Butimba segerea Mpaka keko
Oya wanangu tukutane sentro
Wafungwa wametoka kucheza yani katikati

Moto moto moto moto
Vichwa vimepata moto moto moto moto moto

Watch Video

About Moto

Album : Moto (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 16 , 2021

More NACHA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl