Kwa Kwa (Twa Twa) Lyrics
Kwa Kwa (Twa Twa) Lyrics by MUZIIKA ONLINE
Ni genje ni mbwaya (Chu chuu)
Ah wah yu say (Chu chuu)
Angry Panda aaiii
(Jack Jack on the beat)
Mi hufogotha watu na vitu jo wanaku
Na zangu zikishika zinaoneshanga ma twa twa
Napenda mangoko wamebeba manyaku
Narorosa kengine kakuwe goshodo wakwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Kusukwa kuseswa alafu tu kutokwa
Zishanishika nikapata alipika mbete
Nikapiga kwanza sekete na ngwete
Alafu nikatoa tenje nikapigia madenge
Akanionyesha Corona ikidai ni kifanje
Kusema nitulie jirani akaanza kelele
Kucheki rada gani napata kumbe ni lele
Nikajipin dembe zikaniweka lembe
Nikafika kwake napata nishamea pembe
Akaanza na masharti ati nitoe shati
Apo rada safi nikakula ka mlafi
Kidogo tunabishiwa bana kwani ni nani
Nagutuka ni budake na yukuwaga mrazi
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Kusukwa kuseswa alafu tu kutokwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Kusukwa kuseswa alafu tu kutokwa
Umenikodolea macho ah katoto
I swear na niko single
Mi sidai hizo vako zako za kujingle jingle
Na kumingle
Mi nadai nikukembe nikudare
Hadi uwike ka mukorino
Mi sijali nachoma photo
Ata kama wako kijicho
Alifanya gwiji
Kapatana na biggy
Katoka kijicho
Maisha yolo yolo
Na yellow yellow
Ma yoh yoh, ma yoh yoh
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Kusukwa kuseswa alafu tu kutokwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Kusukwa kuseswa alafu tu kutokwa
Labda nianze na we kwanza
Tena ndo upike lunch
Naju tuko me and you
Sapa tutajimenu
Chana kamenise unaeza kapoa na shuka
Sina pesa ya salon usimind nitakusuka
Alafu ka sunset kwa dirisha tukule kapicha
Na mahaters niwang'ore mastories na status
Twa Twa napiga yaani Twa Twa
Niko On na saa tano ndo nimetema jaba
So cheza kiwewe dance kiwewe
Ju ni mi na wewe tucheze hadi mulembe aiii
Twa Twa napiga yaani Twa Twa
Kutekwa kuseswa kidogo ni kutokwa
Cheki mi huskia Njoki anatakaga za mababi
Za mabobo manigga ma yoh wangati
Ganja farmer warasta pia wanati
Masponyo wadonga wako na vitambi
Mistari kuwasuka nikiongeza methali
Nachanganyisha kighetto nikibonga kilami
Kwa shingo 9-2-5 kuwakunywa na mali
Mali safi iende chain kama shashamanii
Ni mimi na yeye na mimi
Kumshikanisha kama meno na ulimi
Namgeuza miguu yaani juu chini
Napiga Twa Twa ka msee amejipini
Mi hufogotha watu na vitu jo wanaku
Na zangu zikishika zinaoneshanga ma twa twa
Napenda mangoko wamebeba manyaku
Narorosa kengine kakuwe goshodo wakwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Na ni ma twa alafu ni ma kwa kwa
Kusukwa kuseswa alafu tu kutokwa
Watch Video
About Kwa Kwa (Twa Twa)
More MUZIIKA ONLINE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl