BongoPiano Lyrics
BongoPiano Lyrics by MULTIPAUL
MultiPaul
Represent Makole right
It’s about time
Terriyomonster
Likipigwa hili kopo kopo
Ujue tunakesha kama popo popo
Kibunda kinene no mkopo mkopo
We go left n right ki Couple Couple
We go left and bend down left bend down
We go right, bend down right eeh and bend down
Tembeza filimbi nianze kuchombeza, (tuendelee, tuendelee )
Waliolala waamke waje cheza, (tuendelee, tuendelee)
Tembeza filimbi nianze kuchombeza, (tuendelee, tuendelee)
Waliolala waamke waje cheza, (tuendelee, tuendelee)
Filimbi mi napuliza
Filimbi mi napuliza
Filimbi mi napuliza
Filimbi mi napuliza
It’s a day it’s going down
It’s a day we go pop
It’s a day it’s going down
It’s a day we go pop
We go pop (kidezemba kidezemba)
We go pop, we go pop
Sogeza vinywaji nipande juu ya meza (aigoo)
Nimelewa ila gado najiweza (tuendelee tuendelee)
Sogeza vinywaji nipande juu ya meza (tue tue)
Nimelewa ila gado najiweza (tuendelee tuendelee)
Nipande mi juu ya meza
Nipande mi juu ya meza
Nipande mi juu ya meza
Nipande mi juu ya meza
Tembeza filimbi nianze kuchombeza (tuendelee tuendelee)
Waliolala waamke waje cheza (tuendelee tuendelee)
Tembeza filimbi nianze kuchombeza (tuende tuende)
Filimbi mi napuliza
Filimbi mi napuliza
Filimbi mi napuliza
Filimbi mi napuliza
Zungusha shingo kidogo (we kidogo)
Gusa kitambi kidogo (we kidogo)
Zungusha nyonga (aii) nyonga (mamaa) nyonga (twende)
It’s a day it’s going down
It’s a day we go pop
It’s a day it’s going down
It’s a day we go pop
We go pop (kidezemba kidezemba)
We go pop, we go pop
Nipande mi juu ya meza
Filimbi mi napuliza
Nipande mi juu ya meza
Filimbi mi napuliza
Nipande mi juu ya meza
Nipande mi juu ya meza
Filimbi mi napuliza
Filimbi mi napuliza
Watch Video
About BongoPiano
More MULTIPAUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl