Wagwan Lyrics
Wagwan Lyrics by MIKOS GANG
Mungai Eve hapa niko na Mikos Gang
Genge la mikosi bwana
And if you think it's too much
Kuna hii time kwa life hukuwaga noma
Lakini ikipita walai we sema wagwan (Wagwan)
Wagwan (Wagwan) Wagwan (Wagwan)
We ni legend basi sema wagwan
Kuna hii time kwa life hukuwaga noma
Lakini ikipita walai we sema wagwan (Wagwan)
Wagwan (Wagwan) Wagwan (Wagwan)
We ni legend manze sema wagwan
Niko chini kwa mfuko nina 30
Lakini sijali mbao naongezewa na kamati
Jaba imelala nimebaki na mabati
Zikinishika shing nachanga na kilatin
Chuom nikapatana na ule ngati
Home ni huko chini kwa mabati
Ruka ruka juu kama ndauwo
Kuna ujinga ingine mi huwa si allow
Mi ni wa Kanaro kwani hauninauwo
Mi na mister bunny ndo tunarun hii tao
Cheki tunawabeba beba kimbao mbao
Aunty nipee nimembao
Si nimejipin cheki nina ngao
Cheki tunawabeba beba kimbao mbao
Aunty nipee nimembao
Si nimejipin cheki nina ngao
Kuna hii time kwa life hukuwaga noma
Lakini ikipita walai we sema wagwan (Wagwan)
Wagwan (Wagwan) Wagwan (Wagwan)
We ni legend basi sema wagwan
Kuna hii time kwa life hukuwaga noma
Lakini ikipita walai we sema wagwan (Wagwan)
Wagwan (Wagwan) Wagwan (Wagwan)
We ni legend manze sema wagwan
Hakuna cha, hakuna chao chao
Hakuna ya, hakuna wao wao
Hakuna ta, hakuna tao tao
Niko kwa temple wananiita master
Stingo za kugwara, stingo za kuruka
Zote nazinauwo sinanga pupa napenda Fally Ipupa
Niko na siri natoka Gotta city
Si nimemedi basi mi ni pedi
Mimi si mwizi, mimi si mwizi
Mimi si mwizi, mimi ni hustler
Mimi si mwizi, mimi si mwizi
Mimi si mwizi, mimi ni hustler
Sir God bas ninaomba unibless
Ninaomba unibless
Niko na stress, nitaomoka lini
Nitaomoka lini? Niko na stress
Kuna hii time kwa life hukuwaga noma
Lakini ikipita walai we sema wagwan (Wagwan)
Wagwan (Wagwan) Wagwan (Wagwan)
We ni legend basi sema wagwan
Kuna hii time kwa life hukuwaga noma
Lakini ikipita walai we sema wagwan (Wagwan)
Wagwan (Wagwan) Wagwan (Wagwan)
We ni legend manze sema wagwan
Si hii kitu huwaga biggy
We panua aah, panua, panua kili
Nacheki huko ready mi nanyonga aah
Nyonga, nyonga hio tai
Si mami umebeba mataa, mataa
Mataa, mataa, matatizo
Mtu ana zake na kama ulipita sema
Wagwan, wagwan wagwaan
Survival tactics za hapa Nairobi
Ni nani unajua mwenye sasa anakujua
Mwenye sasa anajua ule mtu alikujua
Keroma daily walai sio normal
Lakini ukiwai sema wagwan
Wera daily walai sio normal
Lakini ukiwai buda boss sema wagwan
Rent sio normal
Lakini ukiwai buda boss sema wagwan (Wagwan)
Wagwan (Wagwan) Wagwan (Wagwan)
Cheki kuna hii time kwa life hukuwaga noma
Lakini ikipita walai we sema wagwan (Wagwan)
Mbogi ni mbaya, mbogi rach
Watch Video
About Wagwan
More MIKOS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl