Mbao Mbao Lyrics
Mbao Mbao Lyrics by MBOGI GENJE
Kuna vile kameiva nacheza mbao mbao
Michezo ya sativa kwa pori ni mathao
Ninateka tu my diva na venye kamembao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Nipe mbulu nimteke tu kejani
Ameninoki sema koki kunijaza kwa tight
Kama rules za Michuki bila chuki cheki mwanya
Nikikuona roho haigongi
Cheki chura, cheki chura wa maji chafu ananidai
Natembea na magoti zimeripoti
Nikishika koti, nikishika koti
Nipe pesa we itisha natisha vijana nimekafunga
Kumethoka kila mtu mbili mbili nimejam
[Kappy]
Pahali niko labda duri jo itoe njoti
Namezaga shimo zote nayo
Cheki biz ikifasho, ikidunga mi nakata tenje
Utapata niko skwodi orosho na mbogi genje
Nachantigi makoro tukidunga mamwere
Skia venye inatema ikijiba buda inachuna
Naskianga nibanjuke stingo za kukuna kuna
Ndio maana mi ni pin
Kuna vile kameiva nacheza mbao mbao
Michezo ya sativa kwa pori ni mathao
Ninateka tu my diva na venye kamembao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
[Iano Ranking]
Side moja side ingine ziwake mbili mbili
Size ni kislim kikolo skizia mawili
Mbao mbao adisia ziwake kwa wingi
Nilichujwa NACADA ju ya kuseti warididi
Nyaru kuroll kuwafungia kwa zigi
Mi hukuwanga ngirimba tangu shule ya msingi
Makuro Koinange tao wote kuwadigi
Downtown uptown hadi area jiji
[Guzman, Mbogi Genje]
Kutake over wajue si ndo shatta
Siwezi kuita ras jo bila nati
Seti kola request ya kishada
Man I go hard hadi mtagwaya
Cash money, look fisa na makwanda
Come slow frai dai tumenyanya
Napiga njuga niwashike za kinai
Ndo kakiliet wamezee huyu Guzu
Kuna vile kameiva nacheza mbao mbao
Michezo ya sativa kwa pori ni mathao
Ninateka tu my diva na venye kamembao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Ni mabuti nawapiga na matimber (Mbao mbao)
Ni kuni anataka alidunga finger (Mbao mbao)
Chips funga mi ni machipo mi nafunga (Mbao mbao)
Alipiwe choo kama anaringa
Nimebonda kuliko sura ya ong'ong'o
Zua zogo mambao ama udungwe mengo
Mbao mbao katoto kakishika mabeng'o
Nina moto unaeza dhani manager ni devil
Bila ngori narankiwa top kinde
Na siwezi toka jasho ndo kabeef nikashinde
Nikimada na hii light mi nazima
Na nakupea time token nunua stima
Si katoto ju kanajua vako za ngono
Kula moto ukipata manzi yako ni homo
Penda mate utakuja kujipata na homa
Pigwa D ju ulilala shule si kusoma
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nibebeba naruka mbao mbao
Kuna vile kameshika nacheza mbao mbao
Ni ma twa alafu mbao mbao
Kuna vile kanasonga alafu mbao mbao
Ati ni matwa twa, mbao mbao
Kuna vile kameiva nacheza mbao mbao
Michezo ya sativa kwa pori ni mathao
Ninateka tu my diva na venye kamembao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Kumi tisa naruka mbao mbao
Nimetoka kumi tisa naruka mbao mbao
Watch Video
About Mbao Mbao
More MBOGI GENJE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl