Naogopa Lyrics
Naogopa Lyrics by MAVOKALI
Yanavyo anzaga kiutani utani
Unaanza kwa faida mwisho wa siku hasara
Majina mazuri kuitana hunnie
Ukiyaingia yanakumwaga mbaya
Sawa tumeachana jana tu
Iweje unapost picha yake eheee
Alafu unaona sawa
Ukimpost unatichaga sura yako
Nisimjue ehee
Unajua unazingua
Mwilini vidonda, havijapungua
Moyo ulishapoa unaushtua
Mzigo wa adhabu, unaniumbua ooh aaah
Naogopa
Naogopa
Naogopa
Naogopa
Upole na tabia yake
Atakutaka umiliki dunia yake
Ona atakudanganya tabia yake
Atakuvuta utakua wake
Ukisha jaa ni maumvu hatari
Utatamani akubwage aaah
Kipigo chali
Utatamani akuache
Na utafuta namba yake eeeh
Ili umuache, usiumie oooh
Usiumie eeeh
Unajua unazingua
Mwilini vidonda, havijapungua
Moyo ulishapoa unaushtua
Mzigo wa adhabu, unaniumbua ooh aaah
Naogopa
Naogopa
Naogopa
Naogopa
Watch Video
About Naogopa
More MAVOKALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl