Away Lyrics by MAUA SAMA


I’m about to leave the terminal
Baby baby punguza usongo
You better come pick me up
Coz I don’t really need your longo longo

I came down all the way for you
Hii ni special kwa ajili yako tu
Siunajua kitu nime’miss from you
Give it to me gimmi good good

Nivute chumbani nipe za giza giza
Tusionane vile ukiniangamiza
We sukari utamu wako me ndo ushanimaliza
Give to me baby gimmi dat good good yeah

Don’t tell me that you’ll not be prepared
Nifike afu nikute things not okay
Hey you’ve been waiting all day
I’m almost there only one call away

My love is only for you baby let me give you some
Don’t wanna give it to nobody
Na tuvitu vitu
Usinipunje ongeza utamu usimpe no body nobody like
For you baby let me give you some
Don’t wana give it to nobody
Na tuvitu vitu usinipunje ongeza utamu usimpe nobody nobody like

Away away away away away
Don’t wanna be away from you
Away away away away away
I miss you I miss you
Away away away away away
Youuuuu
Away away away away away
Awayyyyy heyyy yeahhh

AwAay Awaay, Awaay Awaaay
Nataka kuwa na wee na wee
Na weee Na weeee
Oooooh Maai, Yeaah

Kusema ukweli naziwaza lips zako nime’miss kuzi’kiss Mama
Mbali na wewe ila sisikii drama
Naambiwa una’cheat ila hizo habari Habari siziskizi sana
Coz nakujua na nakuamini sana

Na mara nyengine nakuwa busy ile kinoma naomba unisamehe
Nazitafute ili ukomeshe Gucci na Channel,
ma’LUV na mapochi ya Brand yanayouzwa bei
Tuhame kiwalani tuhamie Obey

Tukiongea nikaskia sauti yako napata mzuka
Na mpaka pressure inapanda inashuka
Pia ukinambia umeni’miss nasisimka napata kichupa
Kama unaitaka naikata nakupata

Hata ikitokea wamekubambia kesi we nitaje mimi
Ukitongozwa pia nitaje mimi
Hata kama hawependi sisi ndo tushapendana sasa kwani nini?
Jina la mwisho pia nitaje mimi

Na kasura kako kama katoto
Ndo kanafanya napeleka Moto
Ndo kanafanya nipitie msoto
Wakikutaka nitawasha moto
Pekupeku kama Mpoto ‘hot sana wamoto
Tuvizie Danger days mana nataka tupate Watoto

My love is only for you baby let me give you some
Don’t wanna give it to nobody
Na tuvitu vitu
Usinipunje ongeza utamu usimpe no body nobody like
For you baby let me give you some
Don’t wana give it to nobody
Na tuvitu vitu usinipunje ongeza utamu usimpe nobody nobody like

Away away away away away
Don’t wanna be away from you
Away away away away away
I miss you I miss you
Away away away away away
Youuuuu
Away away away away away
Awayyyyy heyyy yeahhh

Watch Video

About Away

Album : Away (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 20 , 2021

More MAUA SAMA Lyrics

MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl