Wakumpa Lyrics
Wakumpa Lyrics by MATTAN
Mapenzi kizinga ukuti
Leo mkubwa mzigo mwakuti
Nampapasa chaga simkuti
Sura imenuna ka chombo cha shobo
Leo nitanena
Sitokuwa na kaba ya ulimi
Wa moyo kakunja jamvi
Kanipa kazi hamari
Bora angeniacha sihemi
Ninanyema maumivu
Leo mkuki kwa nguruwe
Ila basi ndo hivyo nitazoea
Mwambieni kila leo huwa na jana
Juzi kawa zamani
Haya ndo dunia atapiga
Atapata sarafu mchangani
Mapenzi mapenzi, yanaumbua iyee
Aah aah mapenzi na tena yanasitiri iyee
Mapenzi mapenzi, yanaumbua sana
Aah aah mapenzi na tena yanasitiri iyee
Nami nitapata wakumtima, wakumpa wakumpa mpa
Maaa aah, wakumpa wakumpa mpa
Nitekenya wa kunitekenya kitanda, wakumpa wakumpa mpa
Nicheke mapenzi, wakumpa wakumpa mpa
Ah tufurahi yeah
Mapenzi marahaba
Mapenzi tai inakaba
Mapenzi shaba inalenga kibaba
Na wengine kutoka te
Ah kizungu zungu mara mikiki
Wangu hali hasa visa mikasa
Huenda nilivyompenda sana ndo kosa
Katikati ya bahari mi tosa
Sina kosa mwe, jamani kanionea maskini
Nimekula mwane kanikata vipande
Mapenzi mapenzi, yanaumbua iyee
Aah aah mapenzi na tena yanasitiri iyee
Mapenzi mapenzi, yanaumbua sana
Aah aah mapenzi na tena yanasitiri iyee
Nami nitapata wakumtima, wakumpa wakumpa mpa
Maaa aah, wakumpa wakumpa mpa
Akinitekenya kwa kiuno kidogo kidogo, wakumpa wakumpa mpa
Parapapa papapa maa, wakumpa wakumpa mpa
Ah lalala, wakumpa wakumpa mpa
Watch Video
About Wakumpa
More MATTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl