Usikate Tamaa Lyrics
Usikate Tamaa Lyrics by MASAUTI
My boo boo naelewa kinachokuliza
Hizi shida ipo siku zitakwisha
My boo boo naelewa kinachokuliza
Hizi shida ipo siku zitakwisha
Usilie
Ukilia utaniliza
Nivumilie
Yako machozi nitayafuta
Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki
Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki
Ukaja ukaniacha solo
Utaniliza mama
Hey beiby
Usikate tamaa
Penzi letu bado changa mama
Changamoto lazima
Watatuona kama hatuna maana
Lakini nakusihi
Vumilia vumilia vumilia mama
Vumilia vumilia vumilia mama
Kwenye raha na dhiki
Naomba upendo uwe pale pale
Tena uwe wa haki
Na roho nyuma usirudi kamwe
Mi natambua
Unahitaji nyumba na gari za kifahari
Tena najua
Zako nywele zinahitaji kwenda saluni
Sababu hali yetu duni sana
Kama natuendeshe gari mama
Mwenzio natafuta usiku na mchana
Tuishi nyumba ya kifahari mama
Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki
Litunze langu pendo wakati wa dhiki
Wasije kushawishi hao wanafiki
Ukaja ukaniacha solo
Utaniliza mama
Hey beiby
Usikate tamaa
Penzi letu bado changa mama
Changamoto lazima
Watatuona kama hatuna maana
Lakini nakusihi
Vumilia vumilia vumilia mama
Vumilia vumilia vumilia mama
Nivumilie, vumilia
Wangu cherrie
Usije niache solo mama
Hey Usije niache solo(Utaniumiza)
Hey usiniache solo
Utaniliza Masauti yeah..eeh
Watch Video
About Usikate Tamaa
More MASAUTI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl