Yanga Tamu Lyrics
Yanga Tamu Lyrics by MARIOO
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!
(Yanga Baddest, shii)
Kamata kamata kamata, kamata!
Niacheni tu nile bata, maaana makoro nishainyeka (Sana)
Niacheni tu mi nienjoy, huko uwanjani nishaumizwa
Niacheni tu nile bata, maaana makoro nishainyeka (Sana)
Niacheni tu mi nienjoy, huko uwanjani nishaumizwa
Maisha mafupi baby, ukipenda makoro utazeeka
Usipende timu mbovu utazeeka
Atchu
Ninaipenda Yanga nakufa nayo
Enjoy life is too short
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!
Eti baby wangu anivuruge ubongo
Eti na timu yangu inichanganye kichwa
(Mmhh! weeh! sio kweli)
Weeh! Yanga tamu
Asikwambie mtu tu tu Yanga tamu
Mpira mpira na JCM, Yanga tamu
Ah! Yii! Yanga tamu
Asikwambie mtu tu tu Yanga tamu
Mpira mpira na JCM, Yanga tamu
Shii!
Shii! hahaha
Nani analiweza chama langu? Nauliza
Eti nani ataiweza Yanga yangu? Nauliza
Jamani nani atamweza G Manara? Nauliza
Huko nani ataluweza Bugatti? Nauliza
Mi nishalewa, naipenda Yanga nishalewa (Mi nishalewa)
Mi nishalewa, sibanduki nishalewa (Mi nishalewa)
Mi nishalewa, navyoipenda nishalewa (Mi nishalewa)
Wanatetema, tetema, Engineer kamata twende!
Kamata kamata kamata, kamata!
Kamata kamata kamata, kamata!
Eti baby wangu anivuruge ubongo
Eti na timu yangu inichanganye kichwa
(Mmhh! weeh! sio kweli)
Weeh! Yanga tamu
Asikwambie mtu tu tu Yanga tamu
Mpira mpira na JCM, Yanga tamu
Ah! Yii! Yanga tamu
Asikwambie mtu tu tu Yanga tamu
Mpira mpira na JCM, Yanga tamu
Shii!
Watch Video
About Yanga Tamu
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl