MARIOO Ifunanya cover image

Ifunanya Lyrics

Ifunanya Lyrics by MARIOO


Hmmmm… hmmm yeah

Baby nipe mimi tu
Vile vya uvunguni
Mwenzio kwenye mapenzi
nishaenyeka
Nifikishe mpaka juu
Mawinguni
Mwenzio kwenye mapenzi
Nishaenyeka

Kama koroni sina hata moyoni sina
( zaidi ya wewe)
Chaguo linguine sina
Ndio maana nakufata nizikwe na wewe

Acha nikwambie tu
Hii siri ya moyo  wangu
Hata nikificha mboni zitaniumbua aah
Acha nikuonyeshe kina na upama wa mapenzi yangu
Na huwe wangu wa milele niwe wako

Ifunanya … Ifunanya
Ifunanya … Ifunanya

Nishapitia mengi hadi nusu nijipige kitanzi nkachoropoka
Hile kutapa tapa kama mufa maji nkakorofoka
Nikawa na chembe ya ukicha aah
Mikasa ya mapenzi inakorokocha
Simanzi kutwa kuccha sijiwezii iih

Basi chonde chonde iwe mwisho na usije nikatili
Hayo majeraha uniuguze uniuguze
Illa acha nikwambie tu
Hii siri ya moyo wangu
Hata nikificha mboni zitaniumbua
Acha nikuonyeshe kina
Na upana wa mapenzi yangu
Na uwe wangu wa milele niwe wako

Ifunanya … Ifunanya
Ifunanya … Ifunanya

Aaaannhh  mwenzio ooh
Ifunanya
Kwako wee ndo sijiwezi
Ifunanya
Hata nyendo sina aah
Mbele sioni iih
Ifunanya
Nakupendaga wewe tu (ifunanya)
hmmhh yeahh ... hmmmmm

 

Watch Video

About Ifunanya

Album : Ifunanya (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Dec 21 , 2018

More MARIOO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl