MARGGIE DAWN  U Mwaminifu cover image

U Mwaminifu Lyrics

U Mwaminifu Lyrics by MARGGIE DAWN


Kila siku
Kila saa
Umwaminifu bwana
Kila siku
Kila saa
Umwaminifu bwana

Umwaminifu bwana
Umwaminifu Yesu
Kila siku
Na kila saa
Umwaminifu bwana
Umwaminifu bwana
Umwaminifu Yesu
Kila siku
Na kila saa
Umwaminifu bwana

Umwaminifu siku zote
Umwaminifu daima
Si siku moja tu
Ni siku zote
Umwaminifu bwana
Umwaminifu siku zote
Umwaminifu daima
Si siku moja tu
Ni siku zote
Umwaminifu bwana

(Kila siku
Na kila saa
Umwaminifu bwana
Kila siku
Na kila saa
Umwaminifu bwana)

Wewe ni mwaminifu siku zote
Katiba hali zote
Wewe ni mwaminifu Yesu
Uaminifu wako haulinganishwi
Ni wa vizazi hadi vizazi
(Every day and every hour
You’re faithful oh Lord
Every day and every hour
You’re faithful oh Lord
Chaque jour et chaque heure
Tu es fidèle Seigneur
Chaque jour et chaque heure
Tu es fidèle Seigneur
Ndalo duto gisaa duto
Itimo madongo Nyasacha
Ndalo duto gisaa duto
Itimo madongo Nyasacha
Buli lunaku na buli sawa
Oli mwesigwa mukama
Buli lunaku na buli sawa
Oli mwesigwa mukama
Imisi yose umwanya wose
Urumwizigirwa  mwami
Imisi yose umwanya wose
Urumwizigirwa  mwami)

Watch Video

About U Mwaminifu

Album : U Mwaminifu (Single)
Release Year : 2020
Added By : Farida
Published : Jul 31 , 2020

More MARGGIE DAWN Lyrics

MARGGIE DAWN

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl