Twa Twa Lyrics
Twa Twa Lyrics by MAGIX ENGA
Zikinyc nitalala, ju leo ni mashada
(Magix Enga on the Beat)
Garini Twa twa
Kitchen Twa twa
Garini Twa twa
Kitchen Twa twa
Twa twa choma ngwai bro pitisha fua
Pua pua bare za haga tedi kukata
Fua fua ukicheza pigwa ngwati na mbogi
Wah wah naikata nikikata ngasha
Catwalk ni kama umetoka jo kupakwa
Wtf rasa inaketi haiwezi twerk twerk
Uliza Harmonize jo mi ndo Mutua tua
Twa Twa twa twa
Garini Twa twa
Kitchen Twa twa
Garini Twa twa
Kitchen Twa twa
Yoh Yoh ni zzero
Cheki kairetu ni kega na bado kamerogama
Kanapenda yangu lolo ju inakuwanga imesimama
Naipiga twa twa hadi naiwacha na alama
Naiwacha kama imelala nikirudi bado imesimama
Huskii sipendi kula mfupa nishazoeshwa nyama
Ukikosa kumpea ma twa twa kejani nahama
So ma twa twa nijenge hizo vitu ulijegwa na mama
Twa twa we kachumbari kwa hii yangu nyama
Twa twa sitaki turingi nataka kahawa
Twa twa cheza na kucha ndo umade chawa
Twa twa zimeshika niko wow wow
Zikinyc nitalala ju leo ni mashada
Twa twa
Twa twa zimeshika niko wow wow
Zikinyc nitalala ju leo ni ma twa twa
Twa twa
Ustake ona maondo jekaga gwakwa
Nahuria matanye kama janje
Akupu chande kabumuguaga champe
Si mafuriko so lazima ita skaskua
Bad man si napull up na squad squad
Rraaah twanga hadi navunja kitanda
Twa twa ishindwe kutangatanga
I top play games sa michezo kwa kiwanja
Si mnajua mi napenda kujibamba
Kujeni tukate maji na mapanga
Niwashow vile ganja jo zinazungukanga
Daily tamasha vile nazurururanga
Nishapatana na kampasu kamkamba
Ka ukuja kwangu ka kamejipanga
Ju kamebeba kuku na kuku manga
Kama kuna kitu inatufanya
Tukuwe kitu kimoja na pastor ni sex
Kama kuna kitu inatufanya
Tukuwe kitu kimoja na pastor ni sex
Garini Twa twa
Kitchen Twa twa
Garini Twa twa
Kitchen Twa twa
Cheki hapa ndani ni mashada
Chunga Maina unaweza bleki bana
Nanga imesimama napanga vile nduthi itapanda
Kaa rada na bang'a dufere inaweza kutwara
Sare za ukuma zinakuwaga bado za hasara
Mafothe nafotha na samaki ikiwa imeshonwa
Twa twa zimeshika niko wow wow
Zikinyc nitalala ju leo ni mashada
Twa twa
Twa twa zimeshika niko wow wow
Zikinyc nitalala ju leo ni ma twa twa
Twa twa
Watch Video
About Twa Twa
More MAGIX ENGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl