MADAWA Dem Choppa cover image

Dem Choppa Lyrics

Dem Choppa Lyrics by MADAWA


Skia kwanza mtara ndio usipotee kama lotto
Chopa, chopa chopa dem chopa
Halali daro kuna jua ye si chokaa
Amebeba nyuma kama juala ya mogoka

Na kakijipa kanajua nitachota
Kuku manga niko mboka sitachoka
Siko handas si si riba za machocha
Kameshika tunachezwa mpaka ocha

Chopa, chopa chopa dem chopa
Chopa chopa dem chopa
Chopa, chopa chopa dem chopa
Chopa chopa dem chopa

Tumekuja mbogito watajua ni combi
Ka ni pongi tuko pongito washajua tusongi 
Ka ni nyongi seti kwa kiko vuta ka hatubongi
Ka ni ngori dunga kondiko ogopa kina Njoki

Tunachapa to Kise design ishakuwa janta
Ngoko ana haga utadhani ye ni canter
Tuko Wakanda kitanda ashakuwa Panther
Na jako ya leather mi si nduthi ashanipanda

Jeshi ni genge mbogi ya wengi
Msupa ako na turi na kangotha ya kitenge
Vile siko jaba kukumanga ndio matembe
Akilete jegi tunanyonya kama tembe
Kama amezima tunampiga tu majembe
Iende ka imesonga watajua ni waGenge
Mi hupiga ngoto na sling tu za wembe
Beat mi hukill mi nitawaacha na Malwedhe

Chopa, chopa chopa dem chopa
Halali daro kuna jua ye si chokaa
Amebeba nyuma kama juala ya mogoka
Na kakijipa kanajua nitachota
Kuku manga niko mboka sitachoka
Siko handas si si riba za machocha
Kameshika tunachezwa mpaka ocha

Chopa, chopa chopa dem chopa
Chopa chopa dem chopa

Chopa chopa, vile umeweza unaweza panda juu ya meza
Kama daktari nina ndizi si utameza
Slasher ninayo mamisitu nafyeka
Kama ni fupi ukilima anacheka
Kama ni refu majirani watateta

Cheza na hiyo beat watajua mi ni nani
Cheza na hiyo beat nitawashika kama jani
Kama hushiki jaba na wagenge we ni bani
Tangu shika form itabaki wananinoki
Calo on the beat na Madawa wameripoti

Niliingia daro lakini sasa sitoki
Kipaji bila ganji lakini hata sisoti
Nilianza kuzoza lakini sasa sichoki
Napenda ukirombosa ukishika tu magoti
Akichora saba mi nabomoa kama ploti
Pongi ka imeshika morio mwaga tu manjoti

Na noti ripoti, hambingi siringi
Vile nimekreki na hii mboka mi si pimbi
Kama huwezi nyita tunasaka mashilingi
Vile mi nazoza mpaka wagenge hawapingi
Lines Juacali lakini zangu ni nyingi
Bado bado yoh yoh

Watch Video

About Dem Choppa

Album : Dem Choppa (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 24 , 2020

More MADAWA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl