Vuta Pumz Lyrics
Vuta Pumz Lyrics by LONGOMBAS
Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz
Longombas wanafanya mambo (Ah vuta pumz)
Longombas wanatetemesha
Ah vu ah vu ah vuta pumz
Jamani nisikilizeni, mnisikilize
Jamani nisikilizeni, mnisikilize
Kuna wanawake warembo wenye marasa
Na mapaja, na weupe Na ni wazuri kinyama
Jamani nisikilizeni, mnisikilize
Jamani nisikilizeni, mnisikilize
Kuna wanaume wengi Wenye vifua, na warefu,
Na wenye nguvu Na ni wazuri kinyama
Lakini tujichunge
Pengine wanao mdudu
Wanatuacha, wana-go
Wanatuacha, wana-go
Hee-haa, ah vuta pumz
We vuta pumz
Hee-haa, ah vuta pumz
We vuta pumz
Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa
Usimwone amerembeka, ukadhani umefika
Usimwone ana pesa, ukadhani umefika
Pengine anatuacha, kesho anachora
Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa
Usimwone amerembeka, ukadhani umefika
Usimwone ana pesa, ukadhani umefika
Pengine anatuacha, kesho anachora
Na kama unayo, si mwisho ya maisha
Ni ugonjwa tu kama malaria
Meza dawa, piga tizi
Kula vizuri utaishi fiti
Maisha utayasukuma eeh aah
Maisha utayasukuma eeh
Na mijinga usiyojua kujichunga
Kila shimo unaona unadunga
Hebu jichunge kijana utakuja kufa
Tukuzike Lang'ata
Paja asione tu, huyo ashainua
Kifua kisipite tu, huyo ashajigonga
Tako lisipite tu, mate yashamtoka
Tako lisipite tu, mate yashamtoka
Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz
Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz
Ayi nenene, Ayi nenene
Ayi nenene, Ayi nenene
Ayi nenene, Ayi nenene
Ayi nenene, Ayi nenene
Ayi nenene, Ayi nenene
Ayi nenene, Ayi nenene
Ayi nenene, Ayi nenene
Ayi nenene, Ayi nenene
Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa
Usimwone amerembeka, ukadhani umefika
Usimwone ana pesa, ukadhani umefika
Pengine anatuacha, kesho anachora
Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa
Usimwone amerembeka, ukadhani umefika
Usimwone ana pesa, ukadhani umefika
Pengine anatuacha, kesho anachora
Watch Video
About Vuta Pumz
More LONGOMBAS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl