Chai ndo na Make Lyrics
Chai ndo na Make Lyrics by LAMAZ SPAN K.O.B
Set ki Obare, ni chai ndo na make
Kare ke, I swear ni chai ndo namake
Ki Obare, ni chai ndo na make
I swear ni chai ndo namake
Oya gathee, I swear ni chai ndo namake
Yeah ni chai ndo namake
Rakakaka ni chai ndo namake
Pupupu I swear ni chai ndo namake
Sai ni kuwamix ka ni chai ndo namake
Alafu kuwafix kama chai na nafake
Jasho ya hustle sai ndo nataste
Grind master ni madola sai ndo namake
Class utafikia ni mine ameset
Ju mi hufika saa kama sai na naset
Saa ingine mi huficha kama sign na naset
Na saa mi huficha kama sai niwaset
Wewe nilikuambia uskaai ni underrate
Na scorpion killer cypher inaleta
Ni compo ya Esir na thaiga na Drake
Alafu nko time ya idhaa na Faiba namake
Set ki Obare, ni chai ndo na make
Kare ke, I swear ni chai ndo namake
Ki Obare, ni chai ndo na make
I swear ni chai ndo namake
Oya gathee, I swear ni chai ndo namake
Yeah ni chai ndo namake
Rakakaka ni chai ndo namake
Pupupu I swear ni chai ndo namake
Ni nini sijai ona chini ya jua
Alafu kuna mbogi hapo inafikiria inaweza kanishtua
Mi siogopi
Upuzi yenyu ndo mi si tolerate
Na mafans wamedai ni KOB ndo wanarate
Drip ajab ni ka niko na date
Na Liz Wanja, Kishanto na Cate
Nigga please toka hapa anko unahate
Toka campo Anto Mato mnafake
Mtatii ki Ocampo ju sa mko na case
Shikwa na kanjo na cancel na keshi
Nickname Kidesh Mhesh
Buda round hii si umeset
Set ki Obare, ni chai ndo na make
Kare ke, I swear ni chai ndo namake
Ki Obare, ni chai ndo na make
I swear ni chai ndo namake
Oya gathee, I swear ni chai ndo namake
Yeah ni chai ndo namake
Rakakaka ni chai ndo namake
Pupupu I swear ni chai ndo namake
Nishaimada toka Rongai Matha
Unangoja nitume fair, Rongai madam
Either way kuna msee ako kwa gate KOB
--
Naeza kupea kiobare, naeza kupea mavibare
Naeza kupea ukiwa pale, naeza kupea ukiwa mbali
Naeza kupea pia ki extra, ki extra ordinary
After shikisha kina ethic na odinare
Oya gathee nalook hapa
Itabidi mmetoka kijiko na mimi ju I move faster
Hapa ni sasa mtaanza kuulizana kwani ni nini msanii
Chapa buda ni kama nimekuja kubadilishanga regime
It's a new chapter
Oya gathee, salute hapa
Nani mwingine unajua anaweza piga look hapa
Mara ngapi umejaribu kuniweka chini and I do conquer
Infact sema Amen, (Buda Amen)
It's your new bars time
Guess what?
Am bringing it back
Am bringing the back
Baki napendwa na fans
Kutoka Tha, kutoka Thailand
Mpaka Ema, mpaka Emali
Mpaka Eldo, mpaka Eldoret
Mpaka Moya, mpaka Moyale
Watch Video
About Chai ndo na Make
More LAMAZ SPAN K.O.B Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl