Rombosa Lyrics by KING MOTIZZ


Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosaaaaaaa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa

Hey yoh 
Pale kwa corner pale kwa corner
Me nakashika kana wika,
Pale kwa studio, pale kwa studio
Nikiroga toka mbio au sema ndiooo
Kwa party ni vinywaji na viliooo

I gat the magic stick
Acha nikulambe nitabuy lipstick my girl 
I gat the magic stick
Acha nikulambe nitabuy lipstick my girl, aah

Gal you a leader aah, yes indeed aah 
And if you bubble up me napiga
And if you shake it up me napiga aah
Me huteka zote bora figure

Pararira na bado tumechoma vela
Zimeyella, juu chini rokafella
Seh with my fellas, ukipenda ni maselah
Na binti wanachachisha
Kutingisha, kurombosa.....Prrrrrr.

Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosaaaaaaa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa

Ati wanauliza Simchache Niko where Niko there
Kwa kick bass na snare
Hii ni song ya good times skiza track wicked na rhymes
So now tujienjoy laughter two au three
Ah hepi ni hepi roho safi ata ka ni ya free
So kama bird in the sky feel free
Ju manze umenishika ka kilo ya kangeta
Ni vile umetameta ndani ya hio mini na deep waist

Ooooh my napenda hizi haga yeah
Nabado me napenda kuzichocha yeah
Ooooh my napenda hizi haga yeah
Nabado me napenda kuzichocha yeah
  
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosaaaaaaa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa

Ukibanjuka nikaa umefungua duka
Cheki wakishtuka vile chini unazishuka
Unatouch ka live wire uki wiggle it a little bit
Tonight ndio night tuna ignite ka fire

Ooooh my napenda hizi haga yeah
Nabado me napenda kuzichocha yeah
Ooooh my napenda hizi haga yeah
Nabado me napenda kuzichocha yeah
  
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa
Si tumekuja tu ku rombosa, rombosaaaaaaa
Hawa mabinti wakidondosa, dondosa

Watch Video


About Rombosa

Album : Rombosa (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 17 , 2021

More KING MOTIZZ Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl