Leave Me Alone Lyrics
Leave Me Alone Lyrics by KHALIGRAPH JONES
Khaligraph Jones - Leave Me Alone (Wachana na mimi)
OG, eey
Say leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Mnabambika na vako
Zile nyi husoma mpasho
Ile idhaa niko hustle
Mi nikipanguza jasho
Mnaeneza udaku
Ndio muongezwe za macho
Lakini na kula kichapo
Kofi, soki na kahasho
Tangu niende commercial
Nimekuwa controversial
Ngori zile niko nazo
Zimeniletea vikwazo
Mahater wanakaza matako
But OG anakazanga muscle
So usidedi na mawazo
Ju kama si yako ni yako
Na you cannot be on my circle
Omollo, Odinga, Obako
Presenter anaringa na Passo
Utadhani amenunua Rav4
Mashow mi hupiga kila sato
Design ya Tracy na Mato
Si ndio hukuja ruracio
Kuotea soda na chapo
Nina mbogi ya ushago
Na manyako wanani thago
Nina jeshi ya kina Zzero
Na zimewashikia Dago
Mi hushindaga na kina Wambo
Kwa ile kibanda ya Pango
Tuko juu ya reggea Kanambo
Na tuko rada ya makanjo
Say leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Eey
Unataka kunipimia life as if huwaga ni fare(Fare)
Mpaka watoto wa juzi sai jo wanani dare(How?)
Hii maisha ni kuishi vile unataka ama ni jea(Iyee..)
So sitaki nizame na stori za pressure ka Natalie Tewa(Nop)
Mtaa mi huwanga ni mayor(Aah)
Kwa teli ni mi huwa na air(Eey)
I know you will think it ain't fair(Ha)
But my nigga we never care(Nop)
Siri ni kunyenyekea
Ndo ujue ni wapi unaelekea
So kuanzia leo jua mi na declare
That lazima ngoma zitaenea
Mnapenda kunibother
Kunichafulia rada(Staki)
Huku mimi najikaza(Staki)
Sauti yangu mimi napaza
Beat nikipewa unajua namada
Bongo, ghapuka, genge ama rada
Tangu wajue siku hizi mi ni baba
Shore wangu wako chini ya waba(Waba)
Ni mimi ndo wanapenda kutupia lawama(Woo)
Ju sai natengeneza pesa na wao hawana(Staki)
Hakuna kitu ya bure buda ni kukazana(Iyee..)
Ju leo jo watakucheka, kesho ni karma
Say leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Nasiwajui(Siwajui)
Siwatambui(Siwatambui)
Leo na piga mtumba na kesho nitapiga Lui
Na haikuhusu, yangu maisha
Leo bonga chafu kesho nitakunyamazisha
Everyday we on
Now you in my zone
Na kama hauna mpango
Just get out about my phone
Knock with the game
So I suggest you down
Bring me all the bullshit
Just leave me alone
Hahaha, yeah
I do the vibe and the bitch coded
All of you niggas is distorted
Legendary nigga reach border
Kama unaitaka kama Kipchoge
Maisha yangu haiwahusu
Nyi manyoka nawashuku
Nawapiga marufuku(Brr)
Mi nikipiga tu looku
Nasema siwatambui
Hiyo ufala haikui
So kama wewe ni adui
Leo utajua haujui
Nimesema siwatambui
Hiyo ufala haikui
So kama wewe ni adui
Leo utajua haujui
Say leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu
Don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali
Don't be coming to my zone
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, achana na mimi
Leave me alone, leave me alone
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, wachana na mimi
Leave me alone, wachana na mimi
Watch Video
About Leave Me Alone
More KHALIGRAPH JONES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl